Moses Phiri akataa ofa ya Yanga, asaini Simba SC

twende kwa facts. naona umekimbilia Tanga
 
[emoji1787] mipango ya kuhonga timu ziikamie simba? Au mipango ya kuwalipa wachambuzi wa michongo wa kuisifia uto kila kipindi? Takataka kabisa
Yanga wana kitu kinaitwa Green Project. Fuatilia usome hiyo kitu utaelewa tu hata ukijitoa ufahamu na kujifanya mwendawazimu utaelewa tu
 
Hela baba na mipango ya club iliyopo hayo mengine ni maneno tu . Kuna mchezaji kwenye ligi ya Bongo mwenye mafanikio kisoka kama Saido Ntibazonkiza? Ukimuuliza...
Hahahahaha
 
Yanga wana kitu kinaitwa Green Project. Fuatilia usome hiyo kitu utaelewa tu hata ukijitoa ufahamu na kujifanya mwendawazimu utaelewa tu
Hakuna cha green project wala blue huko utopoloni. Kwasasa simba ndio ndio mwongoza njia wa soka la kisasa na lenye mafanikio. Ni rollmodel wa club zote including utopolo kuanzia kwenye branding, scouting, investment, major titles competition, future plans abd everything you know.

Yaani leo hii profile ya ssc ni kubwa afrika yote na sio limited kwa wakongo kama ilivo yanga. Fanya research, wachezaji wote wazuri walio timu nyingine tanzania (ukitoa wakongo na warundi ambao wanatoa sehemu ya mshahara wao ili kwa viongozii na makocha wapangwe) wote chaguo lao la kwanza ilikuwa ni simba ila wengi wanahofia ushindani wanaamua kwenda yanga. Huyo aucho na kipa wenu raia wa mali ni mifano michache tuu.

Halafu hiyo green project ya kwenye makaratasi imeishia kuzindua ubao wa matangazo tuu huko kigamboni. Labda ijikite kwenye kuzalisha wachezaji chipukizi kwa ajili ya kuwauza kama walivokuwa wanafanya mtibwa.

Malizeni kwanza figisu za yanga kampuni ndio muanze kufikiria mengine. Na GSM alibowashika pabaya mtamtangazia biashara zake halali na haramu mpk mpate akili.
 
rollmodel
role model

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Aucho si mlimtaka na mkamuleta?
 
If is not about money is stupid is he 19 0r 21 yrs old. Can he play free or low wage so longer is plyaing to simba?
 
Simba wana gain confidence..wale wengine kule upande wa pili wameanza kukosa amani..ngoja waanze kudondosha point kwenye ligi uone watakavyopoteana..
Ndivyo soka la Bongo lilivyo kuna muda unaweza kudhani kua timu yako ni mbovu kumbe tu ni upepo wa waandishi na wachambuzi wameamua kuifanya timu yako uione mbovu
 
Ulisikiliza alichokisema Khalid Aucho kwenye mahojiano yake na mwandishi wa habari wakati anajiunga Yanga? Alikiri hadharani awali alifuatwa na simba, lakini yeye akachagua kujiunga na Yanga waliomfuata baadaye.

Wakati mwingine ni maamuzi tu ya mchezaji kupenda kuchezea timu fulani anayo ipenda, ukiondoa suala zima la maslahi! Na mambo mengine.
 
Hakuna kiongozi wa Simba aliyemfuata Aucho. Yanga walimpa maelekezo aseme hivyo
 
Ni mchezaji mwendawazimu tu anayekubali kusajiliwa timu ya mchangani (utopolo) akaacha timu kubwa zinazojulikana kimataifa
 
Makolo yanajitekenya na kucheka yenyewe
 
SALUTE KWAKO NDUGU,ANAEPINGA HII HOJA NI HAMNAZO KAMA ALIVYOSEMA HAJI MANARA
 
Yaani mm naweka uzi masaa 6 yaliyopita mnautoa mnakuja kuunga ktk uzi uliowekwa lisaa limoja lililopita nyie Moderator vipi? Au ndio stress za 2025

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…