Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Jan 16, 2022 #41 Mshuza2 said: Simba wana gain confidence..wale wengine kule upande wa pili wameanza kukosa amani..ngoja waanze kudondosha point kwenye ligi uone watakavyopoteana.. Click to expand... Dadeq zako.. ety wadondoshe point,, tunadondosha points kwa Timu gani kwanza bongo hii.. mtasubir sana mwaka huu..Sisi ndo Mabingwa wa Ligi
Mshuza2 said: Simba wana gain confidence..wale wengine kule upande wa pili wameanza kukosa amani..ngoja waanze kudondosha point kwenye ligi uone watakavyopoteana.. Click to expand... Dadeq zako.. ety wadondoshe point,, tunadondosha points kwa Timu gani kwanza bongo hii.. mtasubir sana mwaka huu..Sisi ndo Mabingwa wa Ligi
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jan 16, 2022 #42 Shombe la Kisomali said: Dadeq zako.. ety wadondoshe point,, tunadondosha points kwa Timu gani kwanza bongo hii.. mtasubir sana mwaka huu..Sisi ndo Mabingwa wa Ligi Click to expand... Mbona unakuja baada ya matokeo..? Acha uoga
Shombe la Kisomali said: Dadeq zako.. ety wadondoshe point,, tunadondosha points kwa Timu gani kwanza bongo hii.. mtasubir sana mwaka huu..Sisi ndo Mabingwa wa Ligi Click to expand... Mbona unakuja baada ya matokeo..? Acha uoga