Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili?

Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
Mtoa mada ana " mpenda" Moses Phiri hatari.

Elewa neno " kumpenda"
 
Lakini nawashangaa sana mnaopuuzia mchango wa Kibu Denis uwanjani. Yaani huwa nawaangalia tu, maybe watu wanakariri
 
Nimemsikia hapa kwenye kipenga xtra cha ea radio, le general ni muungwana, anashukuru kwa support na ameahidi kila mechi goli.. robertinho aelewe umuhimu wa kila mchezaji kuwa fit na tayari asimkariri kibu tu siku akiumia atacheza nan na wengine hawana match fitness?
Alivyoingia Phiri.Konde boy na Kanoute biriyani lilianza kuonekana
 
Konde boy bado sana!! hajaanza kutulipa bado!! tunamdai bado!
Nazungumzia ule muunganiko was pasi, mpira uliokuwa ukichezwa no tofauti na walipokuwa kina Mzamiru butubutu., Saidoo akipata mpira no kutaka afunge na Kibu Dennis kukimbia na mpira bila kujua anataka Nini.
 
Lakini nawashangaa sana mnaopuuzia mchango wa Kibu Denis uwanjani. Yaani huwa nawaangalia tu, maybe watu wanakariri
Hata kama Kibu Denis ana mchango wake hii haina maana kumuweka mchezaji mzuri benchi, kama hutaki kumtumia mchezaji MPE nafasi ya kwenda sehemu nyingine acheze.
 
Back
Top Bottom