Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

Mtoa mada ana " mpenda" Moses Phiri hatari.

Elewa neno " kumpenda"
 
Lakini nawashangaa sana mnaopuuzia mchango wa Kibu Denis uwanjani. Yaani huwa nawaangalia tu, maybe watu wanakariri
 
Alivyoingia Phiri.Konde boy na Kanoute biriyani lilianza kuonekana
 
Konde boy bado sana!! hajaanza kutulipa bado!! tunamdai bado!
Nazungumzia ule muunganiko was pasi, mpira uliokuwa ukichezwa no tofauti na walipokuwa kina Mzamiru butubutu., Saidoo akipata mpira no kutaka afunge na Kibu Dennis kukimbia na mpira bila kujua anataka Nini.
 
Lakini nawashangaa sana mnaopuuzia mchango wa Kibu Denis uwanjani. Yaani huwa nawaangalia tu, maybe watu wanakariri
Hata kama Kibu Denis ana mchango wake hii haina maana kumuweka mchezaji mzuri benchi, kama hutaki kumtumia mchezaji MPE nafasi ya kwenda sehemu nyingine acheze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…