Moses Phiri, the silent killer

Ni mzuri ila tukipambanisha striker bora kwa sasa ndani ya NBC Premier League, hakuna mfano wa Mayele.
Ni kujiongelea linalokuja kichwani,striker Bora Kwa sasa kwenye ligi ni Reliant Lusajo ana goli tano, mayele na phiri wana goli 3. Msimu uloisha aliongoza mpole. Nadhan ungekua sahihi Kwa kusema striker Bora ndani ya Yanga
 
Jamaa muda wote anatabasamu.. naipenda combo ya chama, okrah na phiri.. inakuwa hatari sana pale mbele.
 

Ndo umeandika nini sasa mzee???[emoji849][emoji848]
 
Kabisa
 

Attachments

  • VID-20221002-WA0011.mp4
    3.2 MB
Kumleta mzambia mwenzake kwa ajili ya Chama lilikuwa bonge la idea. Nadhani hata nje ya uwanja, Chama na Phiri watakuwa wako karibu.

Chemistry ya Yanga ya msimu uliopita imechagizwa na wachezaji kutoka sehemu moja ingawa mwanzo walibezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…