Kuna hisia zinanijia kuwa chama na phiri huenda wanajambo lao kwa simba na wameamua kushirikiana kulikamilisha kimya kimya
Jana niliposikia sauti ya mtangazaji akitaja neno "mzambia" nikagutuka na kukumbuka kauli ya
"mpishi wa goli ni mzambia, aliyefanya mission acomplished ni mzambia"
Comment hii kama sikosei ilikuwa mechi dhidi ya geita gold
In summary, the silent killer kenerali mosses ni mnyama toka moyon mwake, akichukua mpira anatoa pas, anafungua na kuupokea kinachofuata ni saluti ya jenerali kisha tabasamu mwanana sana