Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja kati ya washambuliaji wasio na mbwembwe wala maneno mengi. Muonekano wa upole lakini killer haswa.
Anageuka, anakimbia, anatoa pasi na anakaa kwenye nafasi. Hasikiki sana wala hashangilii kwa makeke kama yule wa Congo lakini matokeo yanaonekana.
Kila lakheri kwake..
Jamaa ni fundi sana, hivi wale ndgu zetu walivyosikia Simba wanamtaka hawakutuma offer kweli?Ngoja tuone...
Baadaye akianza kukosa magoli, msije mkaanza kumsimanga tena. Maana kwa nongwa tu, hamjambo.
Umemaliza kuharisha? Katawaze sasa usije kutuvimbisha matumbo kwa harufu ya kinyesi.Moses Phiri Hana tofauti na C. Magulu.. chukueni maneno yangu Phiri hafikii hata nusu ya Mayele, pale Simba tumepigwa walahi.. Kwa Huyu Mayele na Aziz key watani zetu wamelamba dumes.. Huyu Mayele ataendelea kutufunga mpaka achoke yeye na hizo beki zetu za Mbwembwe kina Inonga.
Ww sio Simba tafuta timu yakoMoses Phiri Hana tofauti na C. Magulu.. chukueni maneno yangu Phiri hafikii hata nusu ya Mayele, pale Simba tumepigwa walahi.. Kwa Huyu Mayele na Aziz key watani zetu wamelamba dumes.. Huyu Mayele ataendelea kutufunga mpaka achoke yeye na hizo beki zetu za Mbwembwe kina Inonga.
Moses Phiri Hana tofauti na C. Magulu.. chukueni maneno yangu Phiri hafikii hata nusu ya Mayele, pale Simba tumepigwa walahi.. Kwa Huyu Mayele na Aziz key watani zetu wamelamba dumes.. Huyu Mayele ataendelea kutufunga mpaka achoke yeye na hizo beki zetu za Mbwembwe kina Inonga.
Ngoja tuone...
Naskia Aziza k kafunga goli huko dasalama!Phiri ni kama mzimu. sijui anajificha wapi akitia nyavu unaona meno tu akicheka
Mayale ana magoli ya Ligi mangapi mpaka sasa?Ni mzuri ila tukipambanisha striker bora kwa sasa ndani ya NBC Premier League, hakuna mfano wa Mayele.
Magoli ya mchongo kwa dada yako eeenhAnafunga magoli ya mchongo alafu ana anzishwa Uzi Nchi tamu sana hii[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mzuri ila tukipambanisha striker bora kwa sasa ndani ya NBC Premier League, hakuna mfano wa Mayele.