Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
Mi nimesoma na kuishi na wahindi, hampi mwanae hela ya urithi akiwa hai..atamfundisha kazi tu na kumpa connections..hii mitoto yetu (baadhi) hata ukiipa kazi itaharibu tu...starehe na showoffs nyingi
 
Wachaga mliambiwa nn kuhusu hela huyo ni mama mzazi kafanywa hvyo mlio oa wachaga msijisahau yasije yakawakuta kama ya mzee machache.
 
Wakati akina mama wanawamaliza akina baba kwa tamaa za Mali , kwa kukodi majambazi, sumu etc. Watoto wao nao nao wameanza luwamaliza Mama zao pia kwa ujambazi, panga , sumu. Hii uitwa tit for tat ngoma draw.
 
Dah ni ukatili wa Hali ya juu SANA

Lisa Mali
 
Ukabila gani wakati ni kawaida mkuu. Sasa huyu kaua mamaye wa kumzaa atashindwa kuua mmewe ambaye Hana undugu naye Kama yule wa dumila kuwa huyo fala mmeshamaliza ama...
Bila kuficha hayo mbele ya pesa hayana ustaarabu yanaua tu kama wanavyoua wanaume zao akili zimekaa pesa huyo dogo chuga ndo hao hao wa moshi

Tunajua na ndoa ukweli huo
 
Yakitokea pengine uongee ivyo ivyo.
Ila uchagani bana hakunaga rafiki yako labda uwe na Mali...
Wachaga waliozaliwa mikoani wamestaarabik ila mtu hata kama sio mchaga alizaliwa huko na kukulia huku machame wanakuwa na tabia za kichaga na huo ukatili ni jadi yao mbele ya mali.

Hawa wanakuwa hawana utu kuua wanaume zao kitu rahisi na hata wengi wakioana wanaishia pabaya
 
Wee sema hivyo tuu....sasa mali umahangaika kuzipa ila kwa sababu ya uchoyo watoto wako wenyewe wanakuondoa. Wazazi acheni ubinafsi gaweni mali hizo

Tafuta mali zako Kama wao walivyotafuta usije kuua mzazi sababu ya uvivu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…