Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha yake ipo wp mkuu?Binti mwenyewe pisi fulani anaonekana
Kwa tukio alilofanya unaweza kushangaa
Mali hizi zitawatoa roho watu
Ova
Picha?Binti mwenyewe pisi fulani anaonekana
Kwa tukio alilofanya unaweza kushangaa
Mali hizi zitawatoa roho watu
Ova
Bosi ni fafanue nini?Fafanua mzee[emoji16]
Ni bahati mbaya tu kajulikana ndo maana anaonekana mtu wa ajabu lakin Kuna watu wengi tu Leo hii wanaonekana mashujaa na watafutaji lakini nyuma ya mali zao Kuna unyama mkubwa wamefanya zaidi ya huyo Binti lakini kwakua binadam tumeumbiwa unafki watu wote watamlaumu kwa kujidai wao ni wema sana
Hivi Kuna unyama mkubwa zaidi ya kuua?Ni bahati mbaya tu kajulikana ndo maana anaonekana mtu wa ajabu lakin Kuna watu wengi tu Leo hii wanaonekana mashujaa na watafutaji lakini nyuma ya mali zao Kuna unyama mkubwa wamefanya zaidi ya huyo Binti lakini kwakua binadam tumeumbiwa unafki watu wote watamlaumu kwa kujidai wao ni wema sana
MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA
• Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe
•Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na Kutatua Jinai Mbali Mbali
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali, Limegundulika tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo binti mmoja aliejulikana Kwa jina Moja la Wendy amemuua Mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambae ni Nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC.
Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.
Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.
Akizingumza Kwa uchungu huku akilengwalengwa na machozi Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ndg Juma Raibu ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho na amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji Mali Kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama.
Namnukuu
"Kiukweli hili ni tukio la kutisha, nitoe pole Kwa familia ndugu na majirani wote mliofika hapa, nimepata huzuni sana kuona jinsi gani ya taamaa Mali imetufikisha hapa, nalaani na ninatoa wito Kwa vijana wenzangu wote nchini kuacha kupaparikia Mali na starehe mwisho wake tunageuka kuwa wanyama kiasi hiki, yaani unamuua mama mzazi? hivi unakuwa huoogopi laana na adhabu ya mola? nalipongeza Jeshi letu la Polisi Kwa hatua hii nawatia Moyo mwendelee na kazi hii njema ya kufichua na kudhibiti wahalifu wa namna hii na wanaoshirikiana nao"
mwisho wa kunukuu.
Tayari madaktari wameanza kufanyia uchunguzi wa postmortem Mwili huo kwajili ya hatua zinazofuata.
#MoshiBlog UpdatesView attachment 2075108View attachment 2075109
na nimagaidi kweli ,we mtt anamchinja mzazi wake kwa panga Tena n8 bint si ugaidi huo.marufuku mwanangu kuoa mchaga !! ma alshabab hao!!
R.I.PHao hapo mama na bintiView attachment 2075212
Mzee ,kuna wazazi mitihani si kitoto, unakuta mzee wako mali kibao na pesa nyingi. ila anataka utafute kazi ,kisa kakusomesha.Wazazi toeni urithi watoto wasimame kiuchumi.
Huu ni muhaho wa kuuwawa, 😂😂😂pole wee ila wote tutakufaBaasi usichukie hichi bana 😂
Dahh!!!??
Mnhh... So sad aisee...Hao hapo mama na bintiView attachment 2075212
Tafuta pesa we kenge unategemea kuua upate mali utaolewa au utaishia jelaEeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"
Mpaka muishe kwa kuuana
Kaskazini Tena! HATUPOI