Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

... kuishi Moshi haimaanishi ni mchaga na hata kama angekuwa mchaga haimaanishi ethnicities wengine hayo matukio hayapo na hata yakiwepo kwingine haimaanishi jamii nzima inafanya hivyo; rather, ni tabia binafsi ambayo huwezi kui-populate kwa jamii nzima. Right?
Yakitokea pengine uongee ivyo ivyo.
Ila uchagani bana hakunaga rafiki yako labda uwe na Mali.
Uzuri mie sio mgeni kwa mchaga nimesoma huko nimefanya kazi huko najua mchaga kuliko anavyojijua.
Mabinti zao wanakusaidia kupata Mali Ila Sasa ukishazipata hauchukui round.
Wamachame wenyewe wanajenga wanapangisha Ila huku wamepanga mke haitakiwi kujua Kama umejenga Mana utaambiwa kwenu kaburi sio kuwa ndo litakuwa la kwanza
 
Mama alikuwa nesi???kcmc!

Matukio mengine tusiangalie upande mmoja.


Kuna vifo vingi sana vinavyosababishwa na dharau na uzembe wa ma Dr. na manesi wetu hapo tuache deal za kuuza viungo vya binadamu.


Huyu mama inawezakana kabisa kashiriki katika mauaji mengi sana huko hospitali kiasi laana imemfuata ...

Tuwe makini sana sie ambao tupo katika sehemu za kusaidia watu wemye matatizo

Makanisani,hospitalini Na kadhalika.

Matendo yetu uwaga yanahukumiwa hapa hapa dunia kama sio sisi basi kizaZi lazima kilipe.

Kwa upande mwingine vijana tuache short cut za maisha sasa hata hizo mali atazifanyia nini
Una kichaa
 
Wee sema hivyo tuu....sasa mali umahangaika kuzipa ila kwa sababu ya uchoyo watoto wako wenyewe wanakuondoa. Wazazi acheni ubinafsi gaweni mali hizo
Mzee ,kuna wazazi mitihani si kitoto, unakuta mzee wako mali kibao na pesa nyingi. ila anataka utafute kazi ,kisa kakusomesha.Wazazi toeni urithi watoto wasimame kiuchumi.
 
Ukweli ni kwamba maisha yamebadilika sana especially kiuchumi sababu jamii nyingi sasa hivi wanajua kusaka pesa tena kushinda hata huyo mchaga.

Kutana na Wakinga, wanyakyusa wa kyela na rungwe pamoja na makabila mengine. Kiukweli mjini ni kushindana kusaka masoko tu.

Ile Hali ya kuwapush vijana wa kichaga kurudi na hela inawakuta wengine wanashindwa maana sio kila mchaga kwao Kuna hela . Tunawaona wengine kwao kwa kawaida tu hawana support ya mitaji na mambo kadhaa wanajikuta sanasana wanategenea elimu iwakomboe.

Suala hili limewakuta wengi siku hizi hawaendi kwao kwa kuogopa madharau wanaenda baada ya masikukuu kuondokana na madharau wanayoletewa huko.

Mie nineoa huko tena ukoo wa kawaida tu Ila nawaona mashemeji usipowapa hata lift au kuwapa support wakati wa sikukuu sababu pia kuna Bibi wa watoto wangu nao wanahitaji kuwa nae wakati wa likizo nyingine, wengine wanakuja mwaka mpya tu Ila wakizipata Wana tabia ya kishenzi sana wanakusahau uliyemsaidia tena especially sisi tunaotoka mikoa mingine.

Hii inawapelekea wengine kuwaza mambo ya kishenzi kama hawa wanaoua wazazi wao ili nao wavimbe kwa wenzao wa rika lao.
 
Wee sema hivyo tuu....sasa mali umahangaika kuzipa ila kwa sababu ya uchoyo watoto wako wenyewe wanakuondoa. Wazazi acheni ubinafsi gaweni mali hizo
Wewe una tatizo Kama wenzio na una mawazo hayo hayo huwezi kutetea unyama huo, mzazi akupe ulimsaidia kuzitafuta tafuta zako, kazi yenyewe nesi apige shift za asubuhi, mchana na usiku akulishe, kukuvisha na kukusomesha umekua mkubwa badala ya kufikiria utamsaidiaje mzazi baada ya yeye kustaafu wewe unawaza akugawie mafao, Bora ungebaki tumboni kwa kweli
 
Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
Hata Donald Trump alipewa hela na dingi yake Dola milioni mbili aanze biashara japo ulikuwa mkopo usio na riba wala muda maalum wa kulipa.
 
Back
Top Bottom