Moshi city kujaa watu na magari Krismasi ni failure au success?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
 
Acha wivu kama wewe unashindwa kujipanga mwisho wa mwaka kurudi kwenu angalau ukampelekea mama au bibi yko mkate pole
Punguza wivu dogo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Unajua hata Dar hapawatoshi watu wa K'Njaro ndio maana wamejaa sio miji ya Tz pekee bali Nairobi, Mombasa, Kampala na nje ya Africa. Hawa ni watu wa masafa. Mbona wazungu wamejaa Africa Kusini?
 
AK Wazungu ni kwao, ndo wamejaa na wameijenga AK!
 
Kwanini mmeweka traffic lights kwenye mikoa/wilaya zisizo na idadi kubwa ya magari?

Mnataka nani watumie hayo mataa?Ng'ombe au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ulivyosema, watumie ng'ombe? Hapa chini ni Chato angalia magari ya kukokotwa na punda ndio magari ya kule na trafic lights zimewekwa kwa ajili yao. Aheri kusiwe na trafic lights katika majiji yetu kuliko zikosekane Chattle. Mpaka uongozi wa jamaa umalizike mtaona University of Chattle, Chattle International Airport, Chattle Space Station na kadhalika.
1576843742317.png
 
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Hilo ni jambo binafsi halikuhusu!
 
We Cha kifanya wahimize kuondoka na wake zao sio wanawaachia mimba tu na kiwafanya watangatange na mitaani kifanya umachinga
 
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Una kihoro tukutapishe pambana na hali yako achana sisi utakosa usingizi ufe mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana. Watu wa mikoani mna mbwembwe,

Eti; "Moro city,Iringa city, Arusha city na mwisho Moshi city!"

Anyway ni swali zuri linalopaswa kujiuliza wenyeji wa Kilimanjaro. Wangeweza kuwekeza Kama wanavyowekeza sehemu nyingine nadhani Kilimanjaro ingeipita hata Mwanza.
 
Jaza mji wako achana na miji ya watu.
Kikao cha kwanza maazimio yalikuwa kwenda kuchumia mbali kwa (masembo) na kuja kulia nyumbani.
Hakuna mji uchagani hauna nyumba ya kueleweka....

Pia hii inatusaidia kutunza mji wetu
Angalia lisikupasuwe jicho ilo jamaaa (isembo)
 
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Huko ulikotaja kuko bize kwa ajili ya hao wenyeji wa Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom