Sawa sawa Mkuu, yote heri.Mimi sifwati hizo sheria zenu, kwangu kila Mji ni City.
Acha wivu kama wewe unashindwa kujipanga mwisho wa mwaka kurudi kwenu angalau ukampelekea mama au bibi yko mkate poleWenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?
Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Unajua hata Dar hapawatoshi watu wa K'Njaro ndio maana wamejaa sio miji ya Tz pekee bali Nairobi, Mombasa, Kampala na nje ya Africa. Hawa ni watu wa masafa. Mbona wazungu wamejaa Africa Kusini?Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?
Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Unajua hata Dar hapawatoshi watu wa K'Njaro ndio maana wamejaa sio miji ya Tz pekee bali Nairobi, Mombasa, Kampala na nje ya Africa. Hawa ni watu wa masafa. Mbona wazungu wamejaa Africa Kusini?
Ni kweli kabisa ulivyosema, watumie ng'ombe? Hapa chini ni Chato angalia magari ya kukokotwa na punda ndio magari ya kule na trafic lights zimewekwa kwa ajili yao. Aheri kusiwe na trafic lights katika majiji yetu kuliko zikosekane Chattle. Mpaka uongozi wa jamaa umalizike mtaona University of Chattle, Chattle International Airport, Chattle Space Station na kadhalika.Kwanini mmeweka traffic lights kwenye mikoa/wilaya zisizo na idadi kubwa ya magari?
Mnataka nani watumie hayo mataa?Ng'ombe au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni jambo binafsi halikuhusu!Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?
Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Ngakunda yodoo (masembo munama ako)Jaza mji wako achana na miji ya watu.
Kikao cha kwanza maazimio yalikuwa kwenda kuchumia mbali kwa (masembo) na kuja kulia nyumbani.
Hakuna mji uchagani hauna nyumba ya kueleweka....
Pia hii inatusaidia kutunza mji wetu
RUCO atakwambia 😝😝
Una kihoro tukutapishe pambana na hali yako achana sisi utakosa usingizi ufe mapemaWenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?
Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Angalia lisikupasuwe jicho ilo jamaaa (isembo)Jaza mji wako achana na miji ya watu.
Kikao cha kwanza maazimio yalikuwa kwenda kuchumia mbali kwa (masembo) na kuja kulia nyumbani.
Hakuna mji uchagani hauna nyumba ya kueleweka....
Pia hii inatusaidia kutunza mji wetu
Huko ulikotaja kuko bize kwa ajili ya hao wenyeji wa Kilimanjaro.Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?