PreGE2025 Moshi: Hili ndio Tetemeko la No Reforms No Election, Wananchi wote waunga mkono Chadema

PreGE2025 Moshi: Hili ndio Tetemeko la No Reforms No Election, Wananchi wote waunga mkono Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.

Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao.

Angalia mwenyewe Hapa ni Moshi Mjini

Screenshot_2025-05-30-18-40-08-1.png
Screenshot_2025-05-30-18-39-54-1.png
Screenshot_2025-05-30-18-39-42-1.png
Screenshot_2025-05-30-18-31-16-1.png
Screenshot_2025-05-30-18-31-13-1.png
 
Moshi huwa nawakubali sana wale raia ni wapenda mageuzi ya kisiasa, ni wilaya nzima ya moshi wako hivyo. Jamaa zao wa kaskazini wamejitoa chadema lakini ndugu zao bado wako na chadema. Hebu chaumma nao waende huko tuone kama watajaza nyomi
 
Ajuza wa Kizimkazi anasubiri Wam-Gwajimanise huko mbogamboga!😁🤣🤭
 
Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.

Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao.

Angalia mwenyewe Hapa ni Moshi Mjini

View attachment 3351153View attachment 3351154View attachment 3351155View attachment 3351156View attachment 3351157
Wale vibaka wa Chauma watajutia maamuzi yao ya tamaa shughuli yao ndio basi tena wameenda kupigiwa uwanja wa nyumbani
 
hakuna wasanii.
hakuna vikosi vya polis labda vitaongoza idadi ya watu.
hakuna posho wala mafuso watu wanataka mabadiliko sio muimba taarabu uraisi wa bahati mbaya.
 
hakuna wasanii.
hakuna vikosi vya polis labda vitaongoza idadi ya watu.
hakuna posho wala mafuso watu wanataka mabadiliko sio muimba taarabu uraisi wa bahati mbaya.
..ila Genelral election itafanyika without reforms :CaptFailFish:
 
Back
Top Bottom