Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hapo ni Moshi eneo gani?Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.
Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao.
Angalia mwenyewe
View attachment 3351153View attachment 3351154View attachment 3351155View attachment 3351156View attachment 3351157
Jikoni.Hapo ni Moshi eneo gani?
Chaumma wanahusikaje kwenye mikutano ya Chadema?0Wamewakataa madalali wa Chauma
Wamewakataa madalali wa Chauma
Wale vibaka wa Chauma watajutia maamuzi yao ya tamaa shughuli yao ndio basi tena wameenda kupigiwa uwanja wa nyumbaniHuwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.
Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao.
Angalia mwenyewe Hapa ni Moshi Mjini
View attachment 3351153View attachment 3351154View attachment 3351155View attachment 3351156View attachment 3351157
MajengoHapo ni Moshi eneo gani?
ππππAjuza wa Kizimkazi anasubiri Wam-Gwajimanise huko mbogamboga!ππ€£π€
Hii phenomenon inaitwa abracadabraHuwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.
Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao.
Angalia mwenyewe Hapa ni Moshi Mjini
View attachment 3351153View attachment 3351154View attachment 3351155View attachment 3351156View attachment 3351157
mbona unaharibu!Safi no reform no erection
..ila Genelral election itafanyika without reformshakuna wasanii.
hakuna vikosi vya polis labda vitaongoza idadi ya watu.
hakuna posho wala mafuso watu wanataka mabadiliko sio muimba taarabu uraisi wa bahati mbaya.