kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Zamani kabla ya uhuru miaka ya 50 kulikua na nchi ya wachagga tena ilikua jamhuri kamili walikua wanamalizia tu taratibu kule UN iwe na mwakilishi kamili
kulingana na history walikua na rais aliyechaguliwa na wananchi makamu, mawaziri mpaka wa ustawi wa jamii na uchumi, na elimu
Walikua na viongozi wasomi wenye degree, masters mpaka phd shule, hosptal, na barabara nzuri za lami na umeme na maji yalikuwepo
Wakuu ninini kilifanya kusambaratika kwa hii jamhuri iliyokua mpaka na bendera yake?