Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Huu ndio uhalisia. Hakuna mchaga anayemkubali mwenzake, kila mchaga anajikubali mwenyewe tu!Muzungu aliyeanzisha Uchaga ndiye aliyegoma kuitambua kama nchi, hivyo kupelekea kusambaratika, isitoshe Wachaga wengine kama Rombo, Kibosho au hata Machame wasingekubali kutawaliwa na akina Mareale na Ulimwengu, hivyo kungekuwa na bloody civil war kama Rwanda/Burundi!