Moshi ilikuwa Jamhuri kamili zamani kabla ya uhuru "chagga land" why ilisambaratika?

Huu ndio uhalisia. Hakuna mchaga anayemkubali mwenzake, kila mchaga anajikubali mwenyewe tu!
 
Kilimanjaro ingekuwa nchi basi Wakibosho wangewamaliza wenzao ,Hawa jamaa huwa wanaenda extra mile panapokuwa na hela
 
Kilimanjaro ingekuwa nchi basi Wakibosho wangewamaliza wenzao ,Hawa jamaa huwa wanaenda extra mile panapokuwa na hela
Wajinga mkibosho anaiba kwako kijijini kwao kabisa.
Wachagga wengine wanaiba mbali then wanakuja kutumia kwao, hao wanaiba kwao wanaenda kutumia mbali jinga kabisa.
 
Haijasambaratika Mkuu, ipo na itarudi muda ukifika
 
kama nchi ingekuwa zanzibar sio moshi.kila siku wanalia
Zanzibar ni nchi kabla ww hujazaliwa pamoja na jitihada zenu kuileza hadi leo mumeshindwa imewaganda kooni na mutaitema tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…