DAWA YAKO IMEKWIVA. JIANDAE USISEME NI CHUNGU HUWEZI KUMEZA.
WEWE SI UNAJIONA NI MKUBWA NA UNA MAMRAKA YA KUTANGAZA KUWA CORONA IPO SUBIRI SASA WAKATI WA KUPEWA DAWA UFIKENimecheka kwa nguvu mpaka watu wameniuliza hapa pembeni nacheka nini. We dogo bana naona unadhani kila mtu ni mtoto mwenzako humu ndani.
WEWE SI UNAJIONA NI MKUBWA NA UNA MAMRAKA YA KUTANGAZA KUWA CORONA IPO SUBIRI SASA WAKATI WA KUPEWA DAWA UFIKE
WEWE SI UNAJIONA NI MKUBWA NA UNA MAMRAKA YA KUTANGAZA KUWA CORONA IPO SUBIRI SASA WAKATI WA KUPEWA DAWA UFIKE
Takataka nyingine ni za kuzipuuza mkuu. Anajiona mtu wa kitengo mikwara mingi wakati IQ inacheza 0.00002..Umejiunga juzi hapa jukwaani ili uje ulete mikwara ya kishamba?
SIKUPIGI MIKWALA NAKUAMBIA UKWELI SUBIRI TU WAKATI UFIKE UTAJUTAUmejiunga juzi hapa jukwaani ili uje ulete mikwara ya kishamba?
Nakupuuza maana sioni kama una la maana.SIKUPIGI MIKWALA NAKUAMBIA UKWELI SUBIRI TU WAKATI UFIKE UTAJUTA
Endelea kujifaliji mkuu Mungu akitujalia tukifika mwezi 6 nitakukumbusha naweka akiba ya manenoSasa hapo anayesimamisha shughuli ni mimi au ugonjwa? Taarifa imesema watoto wamekutwa na Corona unaniuliza kuhusu jirani yangu ili iweje,ugonjwa ukikomaa wala hutafungiwa ila utajifungia tu mwenyewe.
Ni moja ya dalili ya CoronaSasa hapa kuna hoja gani uliyotoa zaidi ya kuhara..
Unajifariji kitoto sana,hakuna namna utamkwepa mzungu,hata hio simu unayotumia hapo hata kava la nje hatuwezi kutengeneza,ndui imesumbua dunia,polio imesumbua dunia lakini ni hao unaowaita mabeberu wamekuletea chanjo na hata leo begani unaalama.Hiki ndio kinachowapa tabu mabeberu kuona kwamba wanakosa wateja wa chanjo, watulie tuu kila mtu ashinde mechi zake.