Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

Ccm popote wanapoingia hio sehem lazima iharibikiwe..poleni sana .na pia si wilaya iliwahi kuchukua tuzo za usafi nyingi tu?
 
Mipango miji Tz ni sifuri kubwa, inaudhi mno etu tunashindwa tu kupanga miji yetu!
 
Maisha yanaenda kasi sana leo Moshi pachafu aiseeee!!!! Miaka 10 iliyopita palikua pasafi sana.
πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜ŠπŸ˜†πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜Kwetu Pachafu
 
Ukifik soko la mbuyuni huwezi amini mboga zinapangwa juu ya kinyesi na wachagga wananunua, maisha yapo spiri ya ngiri mkia juu!
Wachaga wa wapi wananunua mboga sokoni? Nan kakuambia hapo moshi mjini ni wachaga peke yao wapo?
 
sindikiza huu uzi kwa picha kuonesha uchafu wa manispaa ya moshi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…