Moshi, Kilimanjaro: Watu waliojitambulisha kama maafisa wa TRA wavamia Rau Pub Usiku huu


[emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Kweli JF kuna mambo!
Lipeni kodi sio kulia lia humu
 
Dah ukisoma maoni ya wadau ni burdani sana, hivi ndio tumefika hapa kama Taifa, aiseee kaZi ipo!
 
Matako kila mtu anayo....wewe mwenyewe unayo,tena yamejaa mavi

Watu hawalipi kodi kuna technical reason

Na sababu jiulizeni nyie wenye madaraka

Hahahahaaa

Jokes on you motherfvckers!
Pimbi mkubwa karumagende ngedere mla mavi mnywa wanzuki na komoni lijinga kabisa u bwa mkubw na ms n ge mk d uwako
 
Lazima mlipe kodi.
 
Umeongea kweli mkuu,yupo jamaa yangu Kariakoo yeye alikuwa na kaduka kadogo dogo tu akakadiriwa kwa mwaka alipe 1.6mill na efd akanunua kwa ajili ya bidhaa zake za dukani ila mzigo mkubwa aliokuwa anauuza pale ni wa nje ya duka lake,yani alikuwa kama winga anatumiwa hela nyingi na wateja wake mikoani huko anafunga mizigo kwa Wachina anabaki na faida yake mfukoni.

TRA wakamkamata siku moja baada ya kuonekana akipakia mzigo uliotoka dukani kwake huku receipt ikionekana siyo ya jina lake jamaa akajitahidi kujieleza wakaenda mpaka mzigo ulikonunuliwa wakakataa bado wakawa hawamuamini wakamwandikia fine,jamaa alipita pita mlango wa nyuma mpaka akaifunga TIN yake na kiduka akakifunga currently anafanya kazi kwa simu tu still hela anapata so ile 1.6mill aliyokuwa anaipa serikali kwa sasa hawaipati tena na alikuwa anailipa vizuri kabisa.

Hili jambo linahitaji busara sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazina imekauka usishangae ikaja ile ya nyumba kwa nyumba na hatimaye kichwa kwa kichwa!

Ndugu zangu tufunge mkanda tuibebe serekale katika kipindi hiki kigumu cha mbinyo wa mabeberu 😀
 
Yani nimeenda zangu Bar kunywa Hafu Niko Gambe...
Then nianze tena kudai Risiti?
 
Sizani kama kutakuwa na utaratibu wa kuwalipa fidia wateja ambao walikuwepo hapo.

Hivi kama hapo akichukuliwa meneja au kiongozi yoyote ili akahojiwe peke yake bila kuathiri shughuli nyingine tatizo litakuwa wap?
Meneja utampata kirahisi namna hiyo. Happ ukute aliteleza na bodaboda fasta akawaachia msala jamaa wa Kaunta
 
Tatizo hizi mashine eti wanawauzia tena wafanyabiashara, tena bei kubwa zaidi ya laki 6. Wangewapa free hizo mashine au at a very low price ili wahamasike kuzitumia.
TRA vamia hao maana mwisho wa siku mlipakodi ni mnunuzi wa mwisho sasa shida iko wapi,toeni risiti
 
Meneja utampata kirahisi namna hiyo. Happ ukute aliteleza na bodaboda fasta akawaachia msala jamaa wa Kaunta
Yah possible lakini kuna njia nyingine zaidi za kusolve hili tatizo bila kutngeneza taharuki kwenye jamii na kufanya watu wasijione wako huru

Meneja hana account, hana collateral yoyote, hana kitu chochote cha kuweza kumfanya aje ofisini?
 
Ndomana wwngine tumehamia kwa mangi sahvi
Mambo ya kunywa umpe kila mnywaji bar risit ni ngumu wazee hebu tra waliangalie hilo!

Ova
 
Makalio yako, nasikitika kwa sababu watu wamekosa uzalendo hawalipi kodi
Aliyekuambia kuwa halipi kodi ni nani? Kuwa na mgogoro na TRA haimaanishi kuwa kodi hailipwi.
 
Kwahiyo Mpango ajulishwe kuwa agizo lake limedharaulika? Na kwa kwakutofuata maelekezo ya waziri mwenye dhamana nani anapaswa kuwajibika? Tushaona maagizo mengi ya mawaziri kutofuatwa na maafisa wa chini yao na hakuna hatua. Nini kifanyike kurekebisha hali hii?
Kumbukumbu; Nape kama waziri mwenye dhamana aliamrisha tume iundwe kuchunguza tukio la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuvamia ofisi za Clouds TV bila kufuata utaratibu na kesho yake tu akaenguliwa uwaziri wake. Je wazani waziri Mpango hana kumbukumbu ya matukio yanayoshabihiana na maagizo ya mawaziri kutofuatwa?
 
Katika biashara zilizo kwenye Tax free ni Bar.... Sio wenye Daladala tunakadiliwa kodi ya Mwaka mzima... tunalipa so tunajichapishia tu vijitabu vya tiketi uchwara Maisha yanaenda. na Bar bora wafanya hivyo hivyo kwani wao ni nani maana kudhibiti risiti usiku ni kazi kubwa... wengi wanaponeamo humo... sema kuna maeneo risiti lazima upewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…