Moshi kutoka wakati wa asubuhi

Moshi kutoka wakati wa asubuhi

Augu_Rider

Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
52
Reaction score
90
Kama mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa moshi na oil nilibadili xxa nikaamua kushusha Engine nzimaa kwa fundi maiko ikatulia gari Ikawa nyepes ulaji wa mafuta ukabadilika ikawa inanusa tuu sas shida asubuh nikiamkaa unatok km mvuke flan iv wa Moshi then engine ikichemka unakata wenyew siuoni tena.

Je, shida ni nni ushauri tafadhali
 
Kma mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa mosh na oil nilibadili xxa nkaamua kushusha ...
Mpya hiyo huo ni mvuke kama ulivyosema mie sina utaalamu ila huo mvuke hata kwangu hua nauona tia gear tembea mzee
 
Kma mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa mosh na oil nilibadili xxa nkaamua kushusha Engine nzimaa kwa fundi maiko ikatulia gari Ikaw nyepes ulaji wa mafuta ukabadilika ikawa inanusa tuu sas shida asubuh nikiamkaa unatok km mvuke flan iv wa Moshi then engine ikichemka unakata wenyew siuoni tenaa
Je, shida ni nni ushauri tafadhali
Kama coolant haipungui just relax.
 
Kama mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa moshi na oil nilibadili xxa nikaamua kushusha Engine nzimaa kwa fundi maiko ikatulia gari Ikawa nyepes ulaji wa mafuta ukabadilika ikawa inanusa tuu sas shida asubuh nikiamkaa unatok km mvuke flan iv wa Moshi then engine ikichemka unakata wenyew siuoni tena.

Je, shida ni nni ushauri tafadhali
Kama uko mkoa wenye baridi ni kawaida iyo na si moshi bali exhaust gases zenye joto zinapokutana na hali ya ubaridi wa nje
 
Kama coolant haipungui just relax.
Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.

Kabla haijatolewa coolant ilikua haipungui, ila sasa hivi inapungua kila baada ya siku tatu naingezea.
 
Mkuu kama unaweza waambie hao mafundi waliyoitoa hiyo thermostat wairudishe.
 
Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.

Kabla haijatolewa coolant ilikua haipungui, ila sasa hivi inapungua kila baada ya siku tatu naingezea.
Yani kwanini umeruhusu watoe.
 
Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.

Kabla haijatolewa coolant ilikua haipungui, ila sasa hivi inapungua kila baada ya siku tatu naingezea.
Dahh!! Aisee waambie wairudushe haraka sana JituMirabaMinne hii ikoje?
 
Watoe na masega nayo nchi za joto hayana kazi
Sidhani kama ushauri huu, ni wa kiuweledi.

Nilikubaliana fundi, kwa sababu alizo nipa, kuwa kazi ya themostat ni ku regulator, joto, mfano upo nchi kwa nchi za baridi, inasaidia kuleta joto ndani ukihitaji.

sasa inaingilianaje na masega,
 
Hewa inayotok ni ya joto inakutana na hewa baridi ya asubuhi so vinatengeneza hiyo hali.
 
Sidhani kama ushauri huu, ni wa kiuweledi.

Nilikubaliana fundi, kwa sababu alizo nipa, kuwa kazi ya themostat ni ku regulator, joto, mfano upo nchi kwa nchi za baridi, inasaidia kuleta joto ndani ukihitaji.

sasa inaingilianaje na masega,

Kama fundi alikwmbia hivyo ni wazi huyo fundi ajielewi, alichosema sio kazi ya themostat
 
Huyo fundi Maiko mshenzi sana.

Akirudishe hixho kifaa haraka sana.

Back
Top Bottom