Augu_Rider
Member
- Oct 15, 2022
- 52
- 90
Mpya hiyo huo ni mvuke kama ulivyosema mie sina utaalamu ila huo mvuke hata kwangu hua nauona tia gear tembea mzeeKma mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa mosh na oil nilibadili xxa nkaamua kushusha ...
Kama coolant haipungui just relax.Kma mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa mosh na oil nilibadili xxa nkaamua kushusha Engine nzimaa kwa fundi maiko ikatulia gari Ikaw nyepes ulaji wa mafuta ukabadilika ikawa inanusa tuu sas shida asubuh nikiamkaa unatok km mvuke flan iv wa Moshi then engine ikichemka unakata wenyew siuoni tenaa
Je, shida ni nni ushauri tafadhali
AhsanteeKama coolant haipungui just relax.
Kama uko mkoa wenye baridi ni kawaida iyo na si moshi bali exhaust gases zenye joto zinapokutana na hali ya ubaridi wa njeKama mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa moshi na oil nilibadili xxa nikaamua kushusha Engine nzimaa kwa fundi maiko ikatulia gari Ikawa nyepes ulaji wa mafuta ukabadilika ikawa inanusa tuu sas shida asubuh nikiamkaa unatok km mvuke flan iv wa Moshi then engine ikichemka unakata wenyew siuoni tena.
Je, shida ni nni ushauri tafadhali
Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.Kama coolant haipungui just relax.
Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.
Kabla haijatolewa coolant ilikua haipungui, ila sasa hivi inapungua kila baada ya siku tatu naingezea.
Yani kwanini umeruhusu watoe.Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.
Kabla haijatolewa coolant ilikua haipungui, ila sasa hivi inapungua kila baada ya siku tatu naingezea.
Dahh!! Aisee waambie wairudushe haraka sana JituMirabaMinne hii ikoje?Coolant ikipungua shida, huwa nini, maana kigari changu, wameitoa themostat, mafundi walisema kwa nchi za joto themostat haina ulazima, bora kutolewa ili Coolant iweze kutembea vizuri.
Kabla haijatolewa coolant ilikua haipungui, ila sasa hivi inapungua kila baada ya siku tatu naingezea.
Nimekuelewa mkuu, itatekelezwa hiyo.Dahh!! Aisee waambie wairudushe haraka sana JituMirabaMinne hii ikoje?
Nimekuelwa mkuu.Mkuu kama unaweza waambie hao mafundi waliyoitoa hiyo thermostat wairudishe.
Sidhani kama ushauri huu, ni wa kiuweledi.Watoe na masega nayo nchi za joto hayana kazi
Sidhani kama ushauri huu, ni wa kiuweledi.
Nilikubaliana fundi, kwa sababu alizo nipa, kuwa kazi ya themostat ni ku regulator, joto, mfano upo nchi kwa nchi za baridi, inasaidia kuleta joto ndani ukihitaji.
sasa inaingilianaje na masega,
Sidhani kama ushauri huu, ni wa kiuweledi.
Nilikubaliana fundi, kwa sababu alizo nipa, kuwa kazi ya themostat ni ku regulator, joto, mfano upo nchi kwa nchi za baridi, inasaidia kuleta joto ndani ukihitaji.
sasa inaingilianaje na masega,