Moshi: Majeneza yaadimika

Pole kwa walioguswa na kuondokewa na wapendwa wao. Binafsi ninajifunza jambo hapa hasa kuhusu utamaduni. Kumbe kuna wakati utamaduni unaathirika kutoka na changamoto za kidunia. Mfano, hili suala la kuzikana kwa majeneza, kumbe mbao zinaweza kuadimika hadi mkaanza utaratibu mwingine. Niliona kule India pia, wale wanaochomwa, kuni ziliadimika.

Tuchukue tahadhari, koLona ipo
 
Sidhani Kama Upo Sahihi Kwa Kauli Yako,Mungu Akusamehe.
Hivi unajua hapo Afrika kusini walipiga marufuku hiyo kitu ili kuongeza kinga za watu wao dhidi ya maradhi? Kuna uhusiano wa wazi kati ya unywaji pombe na kinga ya mwili.
 

Hapo chini ni wale wenye zile takwimu za ule ugonjwa:



Wametulizana.
 
Halafu hapa hapa kuna wapumbavu utasikia wanatamba: walisema tutakufa na korona kwa wingi, kiko wapi?
Kwanini Moshi maana nchi nzima watu wamejiachi kama huko moshi na watu wanaingia na kutoka huko moshi sasa iweje tuwe tunazungumzia wingi wa vifo hadi kuwe na ongezeko la majeneza huko moshi na si nchi nzima hasa ukizingatia ni tokea mwaka jana huu ugonjwa umeingia nchini?
 
Imagine hao wauza majeneza hao wawe wanaroga ili biashara itoke,
Nimewaza tu!
 

Waziri Mkuu tem​


Waziri mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu​

 

Waziri Mkuu tem​



Waxiri mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu​


Hao wanataka kodi, tozo, mikopo na misaada.

Matumbo yao kwanza. Hawana ubinadamu bali ni ubinafsi mtindo mmoja!

Vifo vya watu viwahusu wao nini?
 
Kumbe unajua hivyo halafu ukatoa hoja ya kijinga kwenye post ya kwanza?
Kiswahili tu kimempiga chenga alikuwa na nia njema tu!
Nilivyo muelewa ni kwamba wanakosa kujikinga kutokana na ulevi!
Mlevi akishalewe hana tahadhari ya corona!
 
Moshi tatizo utamaduni ndio shida,vipi Wilaya nyingine hali ni mbaya au kawaida?
Mz!!!! Hali
Ni mawazo tu naeza kuwa sahihi ama nkawa sio sahihi ni mtazamo tu.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kama ni mawazo nami nikupe ya kwangu! Moshi,na miji kama Mwanza imeathiriwa na wageni kuingia hasa kutokea nchi jirani???
Tulizembea kufunga mipaka kwa imani potofu hasa awamu iliyopita??
Wakati Kule India hii delta variant imechachamaa tulieendelea kuruhusu wahindi kuingia watakavyo nchini,.
Aidha hadi leo badoe watalii wanaingia na kuzagaa mikoa ya Kaskazini bila kizuizi cha maana. Nimeishi baadhi ya mikoa ya kusini na kati,pombe inanyweka sana hasa vijijini,lakini haya hayapo.
Pia ujue baadhi ya miji kama Moshi ina wasafiri wengi wanaoingia na kutoka kwa masuala ya kibiashara tofauti na miji mingine.
Aidha kwa taarifa nilizonazo japo Sina uhakika zaidi ya nusu ya mazishi ni ya miili inayopelekwa Moshi kutoka sehemu mbalimbali. Watu wa Moshi wengi wamezagaa kuishi mikoa mingine na ni mwiko kuzikwa pengine nje ya Moshi. Huku tuliko tunao kibao,na litokeapo janga lazima wakazike makwao.
 
Mh . Samia suluhu Hassan ni kipindi sasa cha kutembelea mkoa wa Kilimanjaro Kwa ajili ya kukagua uhai wa Chama na kuzindua miradi ikiwemo ujenzi mkubwa wa upanuzi wa Hospital ya Rufaa ya KCMC na Mawenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…