Moshi Manispaa: Mwalimu wa kawaida ambae hana cheo hajapata kishikwambi. Manung’uniko yayawala

Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha:
1. Mkuu wa shule

2. Second masta

3. Mwalimu wa taaluma (Academic master)

4. Mwalimu wa nidhamu (Disciplin master)

5. Mwalimu wa fedha

6. Mwalimu wa tehama (Kama shule ina Fundisha Hilo somo)

7. Mwalimu wa malezi na chakula

8. Wakuu wa Idara za masomo. ( Kama masomo yako 11 maana yake idara ziko idadi hiyo hiyo hivo basi vishikwambi vita kuwa 11 kwa wakuu wa idara hizo kila mmoja akipewa kimoja kwa masharti kuwa kishikwambi hicho kitatumiwa na walimu wote wa idara hiyo)

9. Mmoja kati ya walimu wa Sarasa kidato kimoja. Kwa mfano, form one aanaweza kuwa na mikondo minne kwa maana Form one A, B , C na D which means hapo kuna walimu wa madarasa wanne kila darasa mmoja mmoja. Hivyo basi wote wanne anachaguliwa mmoja ( upendeleo Hapa hutawala) kati ya hao wanne na kupewa kishikwambi kwa niamba ya wengine.

Shule nyingi hapa nchi kulingana na idadi ya wanafunzi waliopo shuleni hiyo si ajabu kukuta shule ina walimu 38 na kwendelea. Japo kuna baadhi ya shule zina wanafunzi pungufu ya hao na nyingine zina walimu zaidi ya hao hadi 80+.

Kwa ufafanuzi huo, kama shule imepewa vishikwambi 22 tu maana yake walimu zaidi ya waliopewa hivo vishikwambi kulingana na nafasi zao ni wengi.

Katika manispaa ya Moshi mjini, walimu waliokosa vishikwambi niwengi sana .
shida ya walimu ni watu wa kulia sana unalipwa mshahara ml 1 ushindwe kununua kitu cha laki 3?
 
Kuisaidia serikali na idara ya elimu msingi na sekondari yafuatayo yafanyike :-
1. Afisaelimu msingi na sekondari wahamishwe haraka iwezekanavyo
2. Maafisaelimu taaluma wote msingi na sekondari wahamishwe
3. Wote wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi
4. Takukuru mkoa wa arusha wapige kambi moshi manispaa kwani Takukuru mkoa wa kilimanjaro hawahusiki na rushwa nao ni walamba asali huko huko kunakolalamikiwa.
 
Wanyonge wa nchi hawawezi hata lalamika? au kufundisha ni laana .huruma sana Kwa walimu wetu .
 
Back
Top Bottom