Moshi: Mfanyabiashara aua kwa bastola Himo

Huu ushuhuda wa Richard Mahoo unayo mashaka lukuki kuhusu sababu ya mtuhumiwa kumpiga Marehemu risasi.

1. Ni mara chache sana mtu kushuka (hasa bodaboda) ili amuhoji dereva wa gari kuhusu sababu za kuendesha gari vibaya kulikohatarisha maisha yao. Mara nyingi bodaboda hufoka na muda mwingine hutoa ishara ya matusi huku akiongeza mwendo wa pikipiki.

2. Haiji akilini kuwa mtuhumiwa alikuwa akizozana na Deogratius, abiria aliyeshuka kwenye pikipiki na baada ya kumpiga risasi akimfyatulia Richard Mahoo ambaye hakuwa kwenye mzozo. Hii inaonesha kuwa Deogratius na Richard Mahoo walikuwa na mission waliyokuwa wakiitekeleza dhidi ya mtuhumiwa iliyopelekea mtuhumiwa kujihami kwa silaha.

3. Saa kumi na nusu usiku bodaboda hawezi kushuka kwenye pikipiki ili ahojiane na mtu asiyemjua. Hii inaashiria uwepo wa jaribio la uhalifu lillilozimwa na bastola ya mtu aliyelengwa kufanyiwa uhalifu huo.

(NI MAWAZO YANGU).
 
Kwa hiyo baba alikwenda kwenye gari na kuchukua bastola na kufyatulia risasi mtoto wake na kumuua papo hapo.
 
Somo la MEASUREMENTS AND EVALUATION lifundishwe shule za msingi.....

For sure hata humu JF Kuna mijadala humu watu huvutana wangekua ana Kwa ana watu Wasio wastahimilivu wangesha chapana bastola...........................

All in all tujifunze kua na social Tolerance,

Neno samahani au nisamehe lingetumiwa na mwenye gari linge epusha mengi......

Pia hata aliechapwa risasi anaweza kua alitoa tusi au kauli mbovu Kwa mwenye gari & Vise versa is true.................
 
Ndivyo ilivyokuwa,
 
Mawazo yako ni valid kabisa , ikiwezekana huyo bodaboda aliyetoa ushahidi naye awe mtuhumiwa .
Abiria aliyepakiwa kwanza anashukaje kama dereva boda hajaamua kisimama ? Uamuzi wa kusimama ulifanywa na bodaboda na ilikuwa ni mission , kwa usiku wa saa 10 ni mission ovu.
 
Huyo mfanyabiashara ashachomoka...kwa mazingira hayo hakuna kesi ya mauaji hapo bali kuua bila kukusudia, tusubirie kesi iishe apewe miezi miwili sita yake kisha arudi uraiani
 
Unazani Wanakaaga kwenye ivyo vituo sasa ..pale Rau kuna kituo cha Police lakini karbia miezi kime fungwa tu na kufuri juu hamna Police yeyote
 
Mwamba ata jipiga defence za insanity/intoxication alikua kalewa case ina geukia kuua bila kukusudia historia ya crime hana, mjuba ana fungwa zake miezi 6 ya njeee aka fagie mahakamani na wala haendi kudadeki tutafute pesa [emoji736]️
 
Saa 10 usiku utampata nan barabaran pale himo?

Ilkua n saa nne usiku
 
Kamji kadogo Sana kale panya road ngumu maana wakianza msako n do sifur wamedakwa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo lazima ujue wote inawezekana walikua maji, na ujue watu wengi wenye silaha uwa na kiburi sana. Na hio kutaka kumpiga na huyo aliekimbia ilikua ni katika kuja kuleta utetezi baadae kama ulivyoandika hapa wewe, kuwa alivamiwa na majambazi wakiwa na bodaboda na akawawahi akawauwa wote. Ndio ungekua utetezi wake angelifanikisha hilo.
N.B -NI MAWAZO YANGU
 
Barabarani ukinusurika ajali songs mbele acha kuzozana cha msingi hujapata ajali

Wote wana makosa wote wameshindwa kugongana ngumi za nini ? Kila mmoja angeenda zake kuendelea na safari zake

Lakini kwa mida hiyo waliyopigana na wachaga wengi niwajuavyo watakuwa walilewa wote chakari hiyo.mida

Hiyo mida ni ya walevi
 
Pombe sio chai watakuwa walilewa njwiii hawaelewi Moshi ni mji au moshi ni moshi wa moto

Ajali wamekosana ngumi na bastola za nini? Hapo ilikuwa kila.mtu anasema samahani wanaondoka kila mtu anaendelea na safari

Halafu kwa sheria za barabarani abiria kama sio dereva hiyo kesi haimuhusu ilitakiwa kama ni ngumi wapigane madereva huyo wa bodaboda na huyo mfanyabiashara
Abiria alinunua ugomvi .Walioendesheana ovyo madereva yeye angebakia refferee

Udereva mkikosana ajali kila mtu ashukuru mola wake killa mmoja aendelee na safari akimshukuru mola aliyewanusuru na ajali
 
Kweli pombe sio chai, nikiangalia kwa jicho la tatu naona huyo abiria wa bodaboda aliununua ugomvi sio wake, pia naona tajiri muuaji atapona kwenye kesi hii maana yeye alikua peke yake na wao walikua wawili, hapo atasema alikua ana "self defence" wasimuumize. Atapewa faini na kifungo cha nje, mchezo umekwisha, anarejea uraiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…