Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya JPM hiiMwaka mbaya huu kila mkoa siyo Kilimanjaro Tu. Mengine hata hatuna taarifa nayo. Yaani kujiua, kuawa, ndiyo imeshika Kasi. Laana hii.
Amin...wengi wamechangia ila wewe unanigusa...Gaddafi. nilimjua vizuri sana. MUNGU AMSAMEHE..R.i.p Gadafi
Mwaka wa laana huu inahitajika toba kuu.Tumeanza na ukame, mafua ya msimu, kujinyonga, kukata mapanga, mauaji laana tupu.Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba.
----
Mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini, Omary Charema Msangi amejiua kwa kujinyonga bafuni kwake kwa kutumia waya wa pasi.
Tukio la kujinyonga mstaafu huyo limetokea usiku wa kuamkia jana akiwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi eneo la Kiboriloni Manispaa ya Moshi ambapo mwili wa mstaafu huyo ulichukuliwa na kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio leo Jumatano Januari 26, 2022 akisema bado wanaendelea na uchunguzi wa kubaini chanzo cha kujinyonga kwa mstaafu huyo.
"Ni kweli hili tukio limetokea na tunafuatilia kujua hasa chanzo cha kujinyonga kwake," amesema Kamanda Maigwa
Taarifa za chanzo cha kijinyonga kwa askari huyo kutoka kwa mmoja wa ndugu wa familia hiyo zinadai kuwa wakati mwanaume huyo akiwa kwenye matibabu mkoani Dar es salaam, mke wake alitumia nafasi hiyo kuuza mali zake zote ikiwa ni nyumba, mashamba pamoja na mali nyingine.
Inadaiwa kuwa baada ya mstaafu huyo kurejea nyumbani kutoka kwenye matibabu alikuta nyumba yake imeuzwa na kulazimika kwenda kupanga.
Chanzo: Mwananchi
Mke anauzaje nyumba ya mume wake ama nyumba ya pamoja?
Nyumba sio nyanya iuzwe bila mashahidi wala majirani
Ufala wa marehemu!Wanawake mkikabidhiwa hati mna mambo magumu
Umejuaje kama hiyo hati ilikuwa na umiliki wa mr & mrs?Haiwezekani Na anayenunua Ni mjinga, no transfer can be done Kwenye property ya ndoa bila uhiyari wa wawili
Habari haijakaa sawa labda aongeze nyama,Mke anauzaje nyumba ya mume wake ama nyumba ya pamoja?
Nyumba sio nyanya iuzwe bila mashahidi wala majirani
Hata kama ni lazima wote wawepo wakati wa kuuzaHati ina jina la mke?
Kwamba karma itawamaliza🤣Maafande wana laana za kuonea watu,wajihadhari sana,hawatabaki salama hata wakistaafu
Awamu ina gundu!Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba.