Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine

Unajinyogaje kwa ishu kama hii ama ni kukosa uelewa wa mambo ? Alitakiwa atafute ushauri wa kisheria kama hatua ya awali.
 
Polisi bhana mimi hata ukijinyonga kwa mkojo mi hata sishangai maana hata hizo mali kuzipata uliliza watu wengi sana ...

kwa kweli huyo mama anaupiga mwingi
 
Polisi bhana mimi hata ukijinyonga kwa mkojo mi hata sishangai maana hata hizo mali kuzipata uliliza watu wengi sana ...

kwa kweli huyo mama anaupiga mwingi
 
HIVI WATETEZI WA HAKI ZA WANAWAKE MNATOAGA TUZO?

KAMA BADO ANZENI NA HUYU.

ZAMA ZETU HIZI MWANAMKE NI ZAIDI YA SHETANI
 
wachagaa mmeanza tena,si tumekubaliana kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake!?, roho mbaya tu,huyo ngurumbisi chui jike la kichagga.
 
ukioa uchagagani unatakiwa kukaa chonjo wakati wowote kinanuka!!,huyu jamaa hakuwa hata na nyumba aliyojenga chonjo .
 
Mwaka wa laana huu inahitajika toba kuu.Tumeanza na ukame, mafua ya msimu, kujinyonga, kukata mapanga, mauaji laana tupu.
 
Mke anauzaje nyumba ya mume wake ama nyumba ya pamoja?

Nyumba sio nyanya iuzwe bila mashahidi wala majirani

Mstaafu naye sijui kakwama wapi? Hajui hata haki zake, anaamua kujinyonga?

Pambafu kabisaa.
 
Wanawake wa kichaga hapana aisee hawana utu yaani wao pesa mbele,juzi tu mmoja kamuua mama yake mzazi kisa mashamba.
 
Wachaga katika ubora wao,
Hii nchi siku akiwa raisi mchaga tutakuja kupigwa mnada yule mmoja alikuwa gavana na mwingine alikuwa waziri mkuu pesa walizoiba unaweza kutandika chini kuanzia tanga mpaka mwanza.

Wachaga acheni tamaa
 
Awamu ina gundu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…