pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hahahahahhaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wachaga katika ubora wao,
Hii nchi siku akiwa raisi mchaga tutakuja kupigwa mnada yule mmoja alikuwa gavana na mwingine alikuwa waziri mkuu pesa walizoiba unaweza kutandika chini kuanzia tanga mpaka mwanza.
Wachaga acheni tamaa
So mume alikuwa marioo?Swali vilipatikana wakati gani? Kama mume alimkuta navyo huyo mkewe maana yake hawakuchuma wakiwa wote.
Kama alizipata kwa kudhulumu nayeye kadhulumiwaMstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba.
----
Mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini, Omary Charema Msangi amejiua kwa kujinyonga bafuni kwake kwa kutumia waya wa pasi.
Tukio la kujinyonga mstaafu huyo limetokea usiku wa kuamkia jana akiwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi eneo la Kiboriloni Manispaa ya Moshi ambapo mwili wa mstaafu huyo ulichukuliwa na kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio leo Jumatano Januari 26, 2022 akisema bado wanaendelea na uchunguzi wa kubaini chanzo cha kujinyonga kwa mstaafu huyo.
"Ni kweli hili tukio limetokea na tunafuatilia kujua hasa chanzo cha kujinyonga kwake," amesema Kamanda Maigwa
Taarifa za chanzo cha kijinyonga kwa askari huyo kutoka kwa mmoja wa ndugu wa familia hiyo zinadai kuwa wakati mwanaume huyo akiwa kwenye matibabu mkoani Dar es salaam, mke wake alitumia nafasi hiyo kuuza mali zake zote ikiwa ni nyumba, mashamba pamoja na mali nyingine.
Inadaiwa kuwa baada ya mstaafu huyo kurejea nyumbani kutoka kwenye matibabu alikuta nyumba yake imeuzwa na kulazimika kwenda kupanga.
Chanzo: Mwananchi
Umejuaje kama hiyo hati ilikuwa na umiliki wa mr & mrs?
Kuliwa tigo mkuu qàKweli, sasa mwanamke mzee wa miaka 50+ auze mali aende wapi/akafanyie nini!?
Yaani hata mie nashangaaIt's all about kuuwawa, kujinyonga, kuchomwa kisu..huu mwaka umeanza vipi wajameni?
Yaani ni balaaaIt's all about kuuwawa, kujinyonga, kuchomwa kisu..huu mwaka umeanza vipi wajameni?
haya mambo ya kutaka Tanzania tufanye maagano kama ya Haiti 😂 😂 😂 😂 😂 😂It's all about kuuwawa, kujinyonga, kuchomwa kisu..huu mwaka umeanza vipi wajameni?
Ukitaka kuua mtu kwanza uza shamba lake, mkabe, tupa maiti bafuni na kamba pembeni. Polisi wa kibongo atasema kajinyonga. Shamba lake limeuzwa kajinyonga.Ha ha ha!
Kwa kweli ploisi wetu hawana hata intuition ya kuwa trained kuwa investigators.Ukitaka kuua mtu kwanza uza shamba lake, mkabe, tupa maiti bafuni na kamba pembeni. Polisi wa kibongo atasema kajinyonga. Shamba lake limeuzwa kajinyonga.
Hawako trained kabisa masikini, hawajawahi kusikia "staged murder scene."
Kwa kweli ploisi wetu hawana hata intuition ya kuwa trained kuwa investigators.
Wao ni kuchapa mtu kwa waya wa umeme mpak mtu aseme poo!
Mwisho wa uchunguzi, hakuna forensic ivestigation wala homicides investigation.
Kwa mfano huyu polisi aliyesemekana amejinyonga, hata leo ukifanyika uchunguzi wa kitaalam itagungulika alikufaje!
Atakua alisema anauza kwenda kumtibia mumeweMke anauzaje nyumba ya mume wake ama nyumba ya pamoja?
Nyumba sio nyanya iuzwe bila mashahidi wala majirani