DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bwana Ngonyani atasakwa na CCM kwa udi na uvumba apate teuzi itakayoisaidia chama.

CCM ni kijiwe cha wezi na wataaluma wa mbinu chafu.

Kwa CV hii uliyoiweka naona ana qualify teuzi.

Tuendelee kumuombea mwalimu aliye mahabusu asije akajinyonga huko kama ambavyo polisi wanavyomalizanaga na tuhuma chechefu
 
Wachaneni na figisu. Ngonyani endelea kupiga kazi Moshi. Hatutaki ubaguzi!
 
13: Huyu Boss Ngonyani anashiriki kuwabadilishia walimu home of domicile ili kupunguza fedha wanazolipwa kwaajili ya nauli..sasa cha kuchekesha katika mafaili inaonyesha ile ya awali lkn mwalimu anapewa barua isiyo rasmi ya kubadilishiwa..hapo kuna upigaji wa fedha za walimu za nauli kwa kutumia janja hiyo!!kagueni malipo ya nauli mwaka huu na mwaka jana walimu wengi wameumizwa hapo !!je ni sahihi mwalimu kubadilishiwa home of domicile bila kumshirikisha??ushahidi upo wa walimu hao!!
Hiyo namba 13 hainingii akilini,lakini pia hatuna Wizara ya elimu Tamisemi na wala hatuna ukaguzi Kanda,hayo mengine nakupeni pole mwambie mwalimu ngonyani atemane na hizo matabia mama yupo kazini muda wote atamuondoa
 
Jifunzeni kupoteza watu na nyie, mnashindwa kujiorganize wawili watatu mkampeleka kwa mwendazake.

Labda ingekua taasisi lakini mtu mmoja tu mnashindwa kumuundia zengwe.

Enewei likifika ngazi za juu utaskia "stupid" afu inaishia hapo kazi inaendelea. Kilichobaki ni kuchukua sheria kwa hand.
 
Majungu, fitina, wivu, umbea, uchonganishi, na ukabila kimtindo...hayo ndo yapo maofsn...mtu anachunguzwa mpaka anachepuka na nani kwa lengo lipi Sasa🚮🚮
 
Nyie nae hamjielewi haiwezekani afisa elimu tu akuite ofisini na awatishie kuwauwa na mpo zaidi ya mmoja mkaufyata wote.

Kwann hapohapo msiende polisi kuripoti, na mkurugenzi wake mmwambie.

-peleka ripoti takukuru na uashahidi
-toa ripoti tume ya maadili na ushahidi
-toa ripoti kwa mkurugenzi.
 
Moshi hakuna Chama cha Kutetea Haki za Walimu (Chakuhawata)?
Cwt wamelala usingizi wa pono
 
Kama huyu jamaa aliyofanya Ni ya kweli na Bado anaendlea kusavaivu hapo Basi huyo atakuwa na mkubwa juu
 
2: Ameenda kusafisha bastola yake kwamba atakapombaini mhusika amuue! Huyu jamaa yupo sawa kweli? Anaita walimu ofisini kwake na kuwahoji pia kuwatisha kuwa ataua mtu!! Hivi anajua sheria za nchi? Kutishia ni kosa kisheria! Anachokikwepa ni nini wakati walimu wamesema ya moyoni na ukweli wote utabainika kupitia dodoso zilizotoka TAMISEMI.
Akapimwe akili, hiyo bastola anyang'anywe
 
Sheria za nchi unazifahamu?.

Hiyo wilaya;
DED hayupo,
DC,
MAAFISA USALAMA?.

3: Anajisifu kwamba yeye hawezi kuondoka Manispaa ya Moshi na hakuna wa kumtoa wala kumgusa! Anadai kuondoka kwake hapo ni kupanda cheo! (na rekodi ipo aliyorekodiwa akitoa matamshi hayo tutaweka hadharani)!
Kwa kauli hii hao wote wanamwogopa
 
Back
Top Bottom