Kwamba unadhani hao Wana uwezo wa kufanya chochote Cha maana?Sheria za nchi unazifahamu?.
Hiyo wilaya;
DED hayupo,
DC,
MAAFISA USALAMA?.
Ameshindikana kivipi?Basi huyo afisa Elimu ameshindikana , huyo mwalimu taabu ataipata
Hiyo namba 13 hainingii akilini,lakini pia hatuna Wizara ya elimu Tamisemi na wala hatuna ukaguzi Kanda,hayo mengine nakupeni pole mwambie mwalimu ngonyani atemane na hizo matabia mama yupo kazini muda wote atamuondoa13: Huyu Boss Ngonyani anashiriki kuwabadilishia walimu home of domicile ili kupunguza fedha wanazolipwa kwaajili ya nauli..sasa cha kuchekesha katika mafaili inaonyesha ile ya awali lkn mwalimu anapewa barua isiyo rasmi ya kubadilishiwa..hapo kuna upigaji wa fedha za walimu za nauli kwa kutumia janja hiyo!!kagueni malipo ya nauli mwaka huu na mwaka jana walimu wengi wameumizwa hapo !!je ni sahihi mwalimu kubadilishiwa home of domicile bila kumshirikisha??ushahidi upo wa walimu hao!!
Hao wote ni mizigo kama afisa elimu anafanya kuwa wilaya ni mali ya mama yake.Sheria za nchi unazifahamu?.
Hiyo wilaya;
DED hayupo,
DC,
MAAFISA USALAMA?.
Exactly mkuu hasa hiyo paragraph yako ya mwisho, ni POLICE tu mwenye arresting power, tuamke watanzania
Akapimwe akili, hiyo bastola anyang'anywe2: Ameenda kusafisha bastola yake kwamba atakapombaini mhusika amuue! Huyu jamaa yupo sawa kweli? Anaita walimu ofisini kwake na kuwahoji pia kuwatisha kuwa ataua mtu!! Hivi anajua sheria za nchi? Kutishia ni kosa kisheria! Anachokikwepa ni nini wakati walimu wamesema ya moyoni na ukweli wote utabainika kupitia dodoso zilizotoka TAMISEMI.
Sheria za nchi unazifahamu?.
Hiyo wilaya;
DED hayupo,
DC,
MAAFISA USALAMA?.
Kwa kauli hii hao wote wanamwogopa3: Anajisifu kwamba yeye hawezi kuondoka Manispaa ya Moshi na hakuna wa kumtoa wala kumgusa! Anadai kuondoka kwake hapo ni kupanda cheo! (na rekodi ipo aliyorekodiwa akitoa matamshi hayo tutaweka hadharani)!
😅🤣😂😆CWT,Talgwu kazi yao ni nini??
Ngonyani, Mapunda, Ndunguru,Matenga, Komba hao kwa papuchi huwaelezi kituNgonyani ni mngoni huyo wanapenda uvungu hao watu hakuna mfanowe