DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Lakini TAKUKURU nao wanatuhumiwa kula rushwa!
 
Kama Ngonyani atabakia na cheo alichonacho hapa Tanzania bara, basi Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025
 
Afisa Elimu Ngonyani wa Moshi,serikali ikishindwa kumtoa ofisini basi natural power zitafanya kazi😎😎,hii nchi hakuna mwenye hati miliki,ni yetu sore.
 
Afisa Elimu Ngonyani wa Moshi,serikali ikishindwa kumtoa ofisini basi natural power zitafanya kazi😎😎,hii nchi hakuna mwenye hati miliki,ni yetu sore.
Fungeni Ofisi yake Iwapo hataindolewa na serikali kabla ya tarehe 20.4.2023
 
Tangu malalamiko yanayo muhusu yameletwa hapa serikali ingekuwa makini wangekuwa wamesha fuatilia na kuupata ukweli na hatua kuchukuliwa mda sana
Hivi prof. mkenda hana akaunti ya Twitter ili wam-tweet?

Au hao walimu hawana namba ya simu ya waziri wao??
 
HATARI SANA NA SIKUKUU ZOTE MNATAKA MTU AJIUE, KUTESA KWA ZAMU
 
🥳
 
Kwa kifupi Huyu Afisaelimu hicho cheo uliuziwa kama bidhaa zingine so ndicho kinachompa kiburi kikubwa.
 
Moshi hakuna MKUU WA WILAYA? hakuna TAKUKURU? Hakuna RAS ama REO? Hakuna hata mwalimu kichaa anayevuta bange amweke sawa?
kunaviongozi yamekaaga ofisini kujionesha ama kutongoza wanawake tuu!!
Dunia yaleo mpumbavu mmoja havumiliki kuvuruga watu kishenzi jinsi anavyojiskia, Bull shh...t!!
 
Namjua huyo nikada wa ccm na anakula nawakubwa, ila pia mchawi sana. Hakuna wakunihamisha anajiiamini sana.
 
Vema
 
Ofisa elimu ana uwezo wa kumuweka mtu ndani? Hii nchi vipi
 
Aliyekuwa anawapa walimu moto
@mpwayumungu village kala ban

Ova
 
Poleni Mwl, Polisi msiwe

vibwengo. Huyo Mwl atolewe ndani
Apelekwe mahakama ni ajibu mashutaka kama yapo!!
 
Na kuna mbunge anaitwa Mrisho Gambo, hawezi kumshughulikia kada wa CCM.
Na viongozi wa serikali mbovu ya CCM wako kimya, shubaamit
 
Sifa za Ngonyani zinafanana na wenye cheo kama chake nchi nzima ingawa sio wote.

Ukada ni kivuli chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…