Moshi: Mwalimu wa hisabati jela maisha kwa kulawiti mwanafunzi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka 2019 ya kumlawiti mwanafunzi huyo chooni na kuhukumiwa na hakimu mkazi Mwanga, Mariam Lusewa kifungo cha miaka 30 jela.

Hata hivyo, mwaka huohuo akakata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi kupinga adhabu hiyo, lakini Jaji Susan Mkapa si tu kwamba alitupilia mbali sababu zake za rufaa, lakini aliongeza adhabu na kuwa kifungo cha maisha.

Hakuridhika na kukata tena rufaa Mahakama ya Rufani Tanzania, jopo la majaji watatu walitoa hukumu na kubariki kifungo hicho cha maisha jela.

Mfungwa huyo aliwasilisha hoja 10 kupinga kutiwa hatiani na adhabu ambazo hata hivyo zilipanguliwa na upande wa jamhuri ukiongozwa na wakili mwandamizi wa Serikali, Verdiana Mlenza aliyesaidiana na wakili Sabitina Mcharo.

Katika hukumu yao iliyotolewa wiki iliyopita na nakala ya hukumu kupatikana jana,majaji hao, Dk Gerald Ndika, Ignas Kitusi na Omar Makungu walisema sababu za rufaa hazikuwa na mashiko na kubariki adhabu hiyo.

“Kwa kuzingatia kuwa mlalamikaji alikuwa na umri wa miaka tisa wakati wa tukio, Mahakama Kuu Moshi ilikuwa sawa kuingilia kati na kutoa kifungo sahihi cha maisha jela,” inasema hukumu hiyo.

Tukio lilivyofanyikia chooni
Kwa mujibu wa ushahidi uliopo katika mwenendo wa shauri hilo, siku ya tukio Julai 31, 2017 katika Shule ya Msingi Chomvu, mtoto huyo aliyekuwa mwafunzi wa darasa la tatu, alikwenda chooni kwa ajili ya kujisaidia haja ndogo.

Wakati huo ilikuwa saa 5:00 asubuhi, mwalimu huyo (mshtakiwa) naye aliingia katika choo hicho hicho na kumshika mtoto huyo kisha kumziba mdomo kwa kutumia mkono ili asiweze kupiga kelele, ambazo zingesikika nje ya choo.

Hapo ndipo ndipo alipomvua mtoto huyo kaptula yake, kisha kumuingilia huku mtoto huyo akipata maumivu makali. “Nilitembea polepole kurudi nyumbani nikiwa na maumivu na nilikuwa natokwa na damu. Mshitakiwa aliniambia kama nitasema aliniingilia ataniua na kwamba niseme (damu) ilitokana na kuanguka,” sehemu ya ushahidi wa mtoto.

Source: Mwananchi
 
aya bhana ss sijui km teacher leo hatapata usingz maana nackia zipu ya surual ya nyapala imealibika
 
Hawa watu wanaobaka watoto wa kiume sidhani kama na wao hawaliwi, kilimanjaro band waliimba "boko wala wenziooo,Boko nawe utaliwa eeh"
 
Madhara ya kuangalia Porn hayo.Haya majanga yataendelea Sana kwa kasi kubwa na ya ajabu mpk pale tutakapokubaliana Kwamba Porn Ni hatari kuliko Cocaine.
Acha kuisingizia pono mkuu huyo ana matatizo yake binafsi though sitetei uangaliaji wa pono.
 
Kubwa linalonishangaza mimi ni kuwa kadiri wanawake wanavyokuwa wengi huku urahisi wa kuwapata nao ukizidi kurahisishwa, ndivyo tunavyosikia kuongezeka kwa vitendo hivi......inaumiza sana. Tena siku hizi kuna kina dada walioshindwa na kujishukuru kiasi cha kuzitoa tigo zao kwa bei chee hata ya 10,000/= au chini ya hiyo wapo. Kama wewe ni wa hivyo si ukimbilie huko kuliko kuwaharibu watoto wasio na hatia.
 
Lengo lako kubwa Ni Nini hasa Ile subconsciously please?
Kuna bukoba Musoma na Moshi Basi. Mini mikuu imekuwa na nguvu kuliko jina la mkoa na kabila husika limebeba kabila mkoa wote. So stop hapo Ni Moshi na Ni wachaga hao. Kama bukoba Ni mhaya hakuna Cha karagwe Wala bimulo mnyambo ama mhangaza the same to Musoma mkurya hakuna Cha mjita Wala mjaluo.
 
Madhara ya kuangalia Porn hayo.Haya majanga yataendelea Sana kwa kasi kubwa na ya ajabu mpk pale tutakapokubaliana Kwamba Porn Ni hatari kuliko Cocaine.
Tena serikali imewaongezea vishilwambi,vitajaa prnographs sana,sijui itakuaje?
 
Back
Top Bottom