Hawo waliotoa pingu mlitakiwa muwanyang'anye hiyo pingu na kama wanabastora mngewwaporwa Kisha mnasepa zenu yakafukuzwe kazi huko namana hapo walikuwa washapoaWakuu,
View attachment 3302261
Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea!
Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa.
Maswali ni yale yale; je, hali hii itaendelea mpaka lini? Je, polisi wanahusika ama kuna watu wanafanya matukio na kuwasingizia?
Lakini tunakumbuka tukio la TRA? Polisi walituambia wanakibari cha kukamata, je kwanini hawaendi na escort ya polisi? Yakitokea kama ya Tegeta mtamlaumu nani wakati watu wanavamia kama vibaka?
Tukio la Tarimo watu wanajulikana, lakini kesi inaendeshwa kimya kimya na kufichwa kama bangi. Tunaachaje kuwahusisha na matukio haya?
Hili gari lilitakiwa lipigwe kiberiti, na hao jamaa waachwe na vilema vya maisha.Wakuu,
View attachment 3302261
Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea!
Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa.
Maswali ni yale yale; je, hali hii itaendelea mpaka lini? Je, polisi wanahusika ama kuna watu wanafanya matukio na kuwasingizia?
Lakini tunakumbuka tukio la TRA? Polisi walituambia wanakibari cha kukamata, je kwanini hawaendi na escort ya polisi? Yakitokea kama ya Tegeta mtamlaumu nani wakati watu wanavamia kama vibaka?
Tukio la Tarimo watu wanajulikana, lakini kesi inaendeshwa kimya kimya na kufichwa kama bangi. Tunaachaje kuwahusisha na matukio haya?
Kweni huo utekaji ambao sio wa KIHOLELA ukoje?!kukomesha utekaji kiholela wa raia
Kabisa ingewaka motoIlitakiwa Gari iwe kuni, na hao watu wawe majivu, pumbaaav.
Tumechokaa kutekana na kutesana kihuni ktk ardhi yetu.