PreGE2025 Moshi: Mwanaume adaiwa kutaka kutekwa, vijana wasimama kidete kuzuia

PreGE2025 Moshi: Mwanaume adaiwa kutaka kutekwa, vijana wasimama kidete kuzuia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
moshi iko salama siku zote meku msitake kuzua taharuki!

ukisikiliza hata maongezi yao utagudua ni watu wanaoamini sana jeshi la polisi ,wanahitaji polisi wafike watatue mgogoro hii ni ishara nzuri kwa jeshe kuwa na mausiano mazuri na raia wake

hapo ndio utagundua chadema wanataka kuifuta imani njema ya raia kwa jeshi la polisi ukitaka kujua hawa watu sio wenzetu nia yao ni machafuko,kufuta imaani iliojengeka kwa raia na polisi
 
Hiyo mamlaka ya ukamatahi ilitaoiwq ishirikishe polisi
 
Hao machalii wamejitahidi sana, japo nilitamani waende mbali zaidi kwa kumshushia kipondo mtekaji na kuuharbu kabisa huo mkebe wake
uzuri mamlaka ya jeshi la polisi itafanya uchunguzi juu ya tukio
 
Hivi watekaji ni lazima wawe na Noah nyeusi? Hawana magari mengine?
 
Back
Top Bottom