Moshi mweupe kesi ya Sabaya

mali ya Ramadhani Rashid baada ya kumtishia kwa silaha na kumfunga pingu Februari 9 mtaa wa bondeni katika duka Hilo la Mohamed Saad.
Sijaelewa hapa Ramadhani Rashid na Mohamed Saad ...
 
Msaada

Je hapa tutauonaje moshi mweupe? Mbona tuliambia armed robbery ni ngumu kuchomoa?
 
Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Usenge mtupu hiyo kesi,eti laki 3,30k imeporwa sijui vitu gani.
Sabaya ni kijana rasilimali ya taifa,badala wampe moto zaidi wanamuwekea kesi za visasi.
 
usikute wamekaa kama CCM wakakubaliana hii issue inachafua chama!akili za hawa watu ni za kijuha!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Katika comment za hovyo kutolea mwaka huu hii Ni namba moja. Huyo diwani wa ccm Ni chadema? Hizo Kodi za miamala zinaangalia chama? Kweli kichwa hicho Ni fuvu lililosafishwa kwa sabini na jik ili isibaki harufu hata ya ubongo. P..bafu
 
Naona wanasikilizia tu muda ukifika Sabaya atakuwa mtaani kuchukua nafasi ya Cyprian Musiba kupambana na Chadema
 
Hakuna moshi mweupe hapo ni mahakama tu imebadilishwa na pia kosa moja zaidi kuongezwa na uhakika yataongezeka makosa mengi zaidi.
 
Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Kumbuka tukio hili lilifanyika sambamba na lile la dukani. Bila shaka walimpapasa mifukoni muhanga na kumyang'anya alivyokuwa navyo katika kuonesha umwamba walio nao baada ya muhanga alipojaribu kumtetea mwenye duka.
 
KESI ya Sabaya itakua Moja ya mafanikio awamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…