Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kanywe chai dogo asubuhi hiiAcha kutetea muovu.Mnajipambanua mlivyo wapuuzi.Mtauona kama moshi ni mweupe au urujuani.Mataga ninyi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanywe chai dogo asubuhi hiiAcha kutetea muovu.Mnajipambanua mlivyo wapuuzi.Mtauona kama moshi ni mweupe au urujuani.Mataga ninyi!
Dogo mchungulie kwenye gagulo lako.Kanywe chai dogo asubuhi hii
Sijaelewa hapa Ramadhani Rashid na Mohamed Saad ...mali ya Ramadhani Rashid baada ya kumtishia kwa silaha na kumfunga pingu Februari 9 mtaa wa bondeni katika duka Hilo la Mohamed Saad.
Kimahakama ina maana ganiADVERTISEMENT
MsaadaKatika mashtaka hayo, Sabaya na wenzake, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura wanashitakiwa kosa la kwanza unyang'anyi wa kutumia silaha na kuiba Sh2.7 milioni mali ya Mohamed Saad .
Wakili Chavula amesema kosa hilo likitokea Februari 9 mwaka huu katika duka la Saad Mohamed mtaa wa bondeni jijini Arusha.
Amesema kosa la pili ni la wizi wa kutumia silaha ambapo Februari 9, Sabaya na wenzake wawili wakiiba fedha Sh390, 000 Mali ya Bakari Msangi ambaye ni diwani wa CCM Kata ya Sombetini baada ya kumtishia kwa silaha ya bunduki.
Shitaka la tatu Sabaya na wenzake wanatuhumiwa kuiba Sh35, 000 na simu aina ya techno mali ya Ramadhani Rashid baada ya kumtishia kwa silaha na kumfunga pingu Februari 9 mtaa wa bondeni katika duka Hilo la Mohamed Saad.
Kumbe na wewe umeona eeehNaona mnajaribu kudivert attention kuhusu hizo levy za kishamba...
Labda walitegemea anazo nyingi wakaambulia hizo.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Usenge mtupu hiyo kesi,eti laki 3,30k imeporwa sijui vitu gani.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
bajeti kwani wao walikuwa wabunge?Wanaharakati walikuwa busy na petisheni ya dimondi na BET na kumpigia kura Bana boy[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Katika comment za hovyo kutolea mwaka huu hii Ni namba moja. Huyo diwani wa ccm Ni chadema? Hizo Kodi za miamala zinaangalia chama? Kweli kichwa hicho Ni fuvu lililosafishwa kwa sabini na jik ili isibaki harufu hata ya ubongo. P..bafu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Hakuna moshi mweupe hapo ni mahakama tu imebadilishwa na pia kosa moja zaidi kuongezwa na uhakika yataongezeka makosa mengi zaidi.Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena mashtaka hayo kosa moja likiongezeka.
Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka aliileza mahakama hiyo kuwa licha ya kesi kupangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa leo Ijumaa Julai 16, 2021 kwa upande wa Jamhuri kupeleka mashahidi Jamhuri inaomba kuondoa shauri hilo.
Amesema wanaomba kuondoa shauri hilo chini ya kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019.
"Mheshimiwa Hakimu baada ya kuliondoa shauri lililopo Mahakama ya wilaya ya Arusha, tunaiomba mahakama hii kufungua upya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha,"amesema
Baada ya hoja hiyo Hakimu mkazi mwandamizi, Odira Amworo ambaye ameletwa Arusha maalum kusikiliza kesi hiyo akitoka Mkoa wa Geita aliutaka upande wa utetezi kutoa hoja kama wanayo juu ya maombi hayo ambapo Wakili Dancon Oola alieleza kuwa hawana pingamizi kwa kuwa ni haki yao iko ndani ya sheria.
"Hatuwezi kuwa na pingamizi kwa sababu ni haki yao na iko ndani ya sheria kufanya hivyo,"alieleza Wakili huyo
ADVERTISEMENT
Hakimu aliridhia ombi hilo na kuliondoa shauri hilo la awali chini ya kifungu hicho namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Hata hivyo, baada ya kufutwa, Wakili mwandamizi wa serikali Abdallah Chavula aliwasomea upya mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
Katika mashtaka hayo, Sabaya na wenzake, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura wanashitakiwa kosa la kwanza unyang'anyi wa kutumia silaha na kuiba Sh2.7 milioni mali ya Mohamed Saad .
Wakili Chavula amesema kosa hilo likitokea Februari 9 mwaka huu katika duka la Saad Mohamed mtaa wa bondeni jijini Arusha.
Amesema kosa la pili ni la wizi wa kutumia silaha ambapo Februari 9, Sabaya na wenzake wawili wakiiba fedha Sh390, 000 Mali ya Bakari Msangi ambaye ni diwani wa CCM Kata ya Sombetini baada ya kumtishia kwa silaha ya bunduki.
Shitaka la tatu Sabaya na wenzake wanatuhumiwa kuiba Sh35, 000 na simu aina ya techno mali ya Ramadhani Rashid baada ya kumtishia kwa silaha na kumfunga pingu Februari 9 mtaa wa bondeni katika duka Hilo la Mohamed Saad.
Sabaya na wenzake wanaotetewa na mawakili, Oola, Moses Mahuna, Silivester Mahumbuga na Heston Justine walikana mashitaka hayo.
Kesi hiyo itaanza kusikilizwa Jumatatu wiki ijayo na kesi nyingine ya uhujumu uchumi inayomkabili Sabaya na wawenzake iliahirishwa Hadi Julai 30 mwaka huu.
Watuhumiwa hao wamepelekwa gereza kuu la Kisongo kwa kuwa makosa yao hayana dhamana.
Maelezo zaidi ya kesi ya Sabaya na mwenendo kwa kesi fuailia gazeti Mwananchi kesho.
Upuuzi wa kisiasa nahsi mwisho itakuwa aibu mahala fulaniHii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Wamrudishie na cheo chake .jamaa mzalendo huyuGeresha tu. Soon tutawaona mtaani
Kumbuka tukio hili lilifanyika sambamba na lile la dukani. Bila shaka walimpapasa mifukoni muhanga na kumyang'anya alivyokuwa navyo katika kuonesha umwamba walio nao baada ya muhanga alipojaribu kumtetea mwenye duka.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Ukilala unaiota bavicha. Sema serikali ya ccm haitaaminiKwani hii case ilifunguliwa na Bavicha?