Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika.
Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa Ulioonekana na kupatiwa kutoka kwa wapiga kura. Tanzania ipo mstari wa mbele na profesa Mohammedi Janabi ndiye mtu pekee aneyepewa nafasi kubwa na kutabiliwa kuibuka na ushindi mkubwa sana.
Kaeni kwa kutulia watanzania wenzangu. Ushindi unarejea nyumbani . Bendera yetu inakwenda kupepea juu Barani ulaya katika ardhi ya Geneva ndani ya uswisi. Kazi imefanyika na matunda yamepatikana. Ni suala la muda tu Taifa , Afrika na Dunia nzima kwa ujumla wake ilipuke kwa kishindo kikuu kitakacho acha na kuleta furaha kwa kila mmoja wetu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.