Moshi: Mzee ahukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kusafirisha mirungi

Dah!
50 kachoka!
Hii sasa ni balaa.
Lakini waweza kuta ni roho ya kubweteka na kudekeza uomba omba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi vyombo vya dola na vinavyohusika na sheria wote wako kimaigizo tu. Bado wapo miaka 40 na kitu. Hiyo biashara ni ya kawaida sana kwa arusha,huwezi kumfunga mzee kama huyo ili uonekane tu unafanya kazi. Hapo ujue ameshawaachia wenye hela wengi tu,wenye kesi kama hizo. Ili tu aonekane yupo kazini imebidi aonyesha mfano kwa huyo mzee. Hicho walichomfanyia kwa huyo mzee,itawatafuna taratibu maisha yao yote
 
Mkuu, mimi kwanza nawalaumu waliotunga hii sheria. Huwezi kuweka mirungi kwenye kundi moja na cocaine na heroine! Athari zake ni tofauti. Ndio maana wakati hizo dawa za kulevya hazikuwahi kuhalalishwa, kuna wakati Tanzania mirungi ilikua ni biashara halali kabisa

Ni sawa kusema leo hii mnaharamisha ugoro kwenye sheria zenu halafu hapohapo mnaweka capital punishment! Jamani kumfunga mtu jela miaka 20 ajili ya mirungi ni sheria mbaya, ipelekwe Bungeni ifutwe

Tena kwa taarifa yenu, adhabu ya juu kwa kupatikana na kosa mahakamani la kusafirisha mirungi kilo 50 ni kifungo cha maisha jela!!!!

Sijui kama watu wanaelewa maana yake!!!!? Sheria zetu nyingi ni mbaya na za ukatili kabisa. Kwa watu wanaofanya biashara ya cocaine na heroine ni sawa maana athari zake ni mbaya sana kwa jamii. Lakini sio mirungi
 
Mzee hakuwa na shida huyo wewe , hujasoma hapo anamiliki Toyota Corolla
 
Mzee anadai mchicha pori

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nimeishi mji mmoja huko kaskazini aisee bangi na mirungi inalika hadharani na watu hawaogopi na vijana ndio waathirika wakubwa, tena wengi huvutia pembeni ya vituo vya police
 
Mkuu haina mitaa, ina vijiji wala usikatae.

Ibukoni, Mamsera, Keni, Ikuini vyote ni vijiji kama vijiji vingine.
Ulielewa maana yake ama kwakua una uchungu wa kujifungia? Mjinga kweli... unafundisha shule gani we fala[emoji28][emoji23][emoji23] kiangalieee. Ugumu wa maisha umekupelekea mpk ukaenda pangiwa ajira vijijini makalio wewe

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Tulia we msheku kikojozi, uambiwe ukweli.

Njoo unipe hiyo mimba kama huwa unakojoa umesimama!!

Hiyo Tarakea yenyewe ni barabarani tu, ukitembea kidogo unaingia mashambani tu huko.
Sasa kama ni vijijini waumia nn? Dada zako na nduguzo wanajua ndo town. Mmezoea kuishi mabandani lazima roho ikupwite. Unafundisha wapi? Ikuini? Ama halmashauri hapo?[emoji23][emoji23][emoji23] tutajie kijijini kwako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mirungu kitu gani wanamuonea mzee tu mimi bora nile mirungi kuliko mataputapu na kulala kwenye misingi ya maji machafu. Mirungi wanakula watu wastaarabu amani kabisa.
 
Ajali kazini,moja ya upambanaji

Pole mzee

Ova
 
Kwahiyo tunakubaliana kuwa huku ni vijijini, chaka pori??

Ona Warombo wenzio asubuhi asubuhi na mipombe isiyoeleweka.👇👇
 

Attachments

  • VID-20211120-WA0002.mp4
    11.3 MB
Conclusion ya kwamba ametekelezwa na watoto wake umeifikia vipi?
Mzee alikuwa msafirishaji maarufu wa mirungi akawekewa mtego.
Alikuwa analipwa .Na anatumia gari lake.Tukio hilo mkuu ni la 2017 .
Alikuwa anajua anafanya nini na alikamatwa na mzigo.
Tumia akili unaposoma comment,elewa comment kabla ya kukurupuka,kuna sehemu nimesema nimefikia conclusion kua ametelekezwa?soma tena comment na uzingatie alama ya kuuliza (?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…