LGE2024 Moshi: Rufaa zote za CHADEMA zaangukia pua

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika Novemba 15.2024

Kupata mijadala yote kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
CHADEMA Kichwa kilishazamishwa kwenye pochi kiwiliwili ndo kimebaki kujipapatua.
 
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika Novemba 15.2024

View attachment 3153509
PALESTINA wakipigania haki zao mnaona wakorofi.
 
matatizo mengi ya waliyowekewa pingamizi ni ya kisheria zaidi.

hakuna msimamizi wa Uchaguzi mwenye kiapo anaweza kukiuka sheria na katiba ya nchi.

wenye pingamizi zenye dosarai na kasoro za kibinadamu zisizo za kisheria nadhani wamepewa fursa ya kugombea 🐒
 
"Nadhani" ungejua maana ya hili neno, usingekua asshole as you are now
 
kama kuna mambo yanahitaji maandalizi yenye umakini mkubwa wa kitaasisi, basi ni Uchaguzi.

Mihemko, papara na ujuaji mwingi vitakutoa nishai tu gentleman. Huwa hakuna huruma wala mujiza kwenye mambo haya serious sana ya kiushindani 🐒
 
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika Novemba 15.2024

View attachment 3153509
Once again, walishauriwa wajitoe hawakusikia. Hila hizi na madudu mengine yalionelana tokea zamani
 
Screenshot_20241114-182251.jpg
 
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika Novemba 15.2024

View attachment 3153509
Ni rasmi sasa watu wanabaguliwa kivyama.
 
Tuliwashauri sana, jiondoen kwenye huu uhuni, achen kuhalalisha huu ujinga unaofanywa na ccm, achanen na hizi drama, rudin kwenye uwanja wa vita, rudishen upya hoja ya katiba mpya, na ufisadi, pamoja na elimu ya uraia ianzie kwenye mitaaa.
 
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika Novemba 15.2024

View attachment 3153509
chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika!
 
Kupambana na mbabe ambaye mwisho wa siku huna la kumfanya, ni kujichosha tu.
Inategemea mwisho wa siku unaitafsiri vipi. Karibu wote walioanzisha mapambano dhidi ya ukoloni, ubaguzi n.k. waliambiwa kuwa wanajichosha tu. Yote hayo ni mipango ya Mungu. Haya yanayoendelea nchini yana mwisho wake. Tusipoanza hiyo safari hatutafika kwenye huo mwisho.

Amandla...
 
kama kuna mambo yanahitaji maandalizi yenye umakini mkubwa wa kitaasisi, basi ni Uchaguzi.

Mihemko, papara na ujuaji mwingi vitakutoa nishai tu gentleman. Huwa hakuna huruma wala mujiza kwenye mambo haya serious sana ya kiushindani 🐒
Sasa Nina swali kukuuliza huyu alipitishwa na serikali je ana sifa?
 
Attachments

  • 1731344173133.jpg
    1731344173133.jpg
    303.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom