LGE2024 Moshi: Rufaa zote za CHADEMA zaangukia pua

LGE2024 Moshi: Rufaa zote za CHADEMA zaangukia pua

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tulosema
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika Novemba 15.2024

View attachment 3153509
[/QUO
Tulisema hapakua na sababu ya kukata rufaa , Lissu alishasema uchaguzi wa S.za mtaaa zimekwisha ,chadema kama vipi jiondoeni kwenye uchaguzi
 
Sasa Nina swali kukuuliza huyu alipitishwa na serikali je ana sifa?
unang'ang'ana na uzushi usiokupa faida wala ahueni,
Wakati waziri yuko live akibainisha ukweli na kutoa maelekezo ya mwisho kuelekea kampeni za kuanzia November 20,

kaa chonjo gentleman 🐒
 
Inategemea mwisho wa siku unaitafsiri vipi. Karibu wote walioanzisha mapambano dhidi ya ukoloni, ubaguzi n.k. waliambiwa kuwa wanajichosha tu. Yote hayo ni mipango ya Mungu. Haya yanayoendelea nchini yana mwisho wake. Tusipoanza hiyo safari hatutafika kwenye huo mwisho.

Amandla...
Changamoto za kisiasa hutatuliwa na michakato ya kisiasa, Mungu hahusiki kamwe. Kama unabisha basi chadema ibadilishe usajili na kuwa kanisa ili ifanye maombi ya hicho unachodhani kinawezekana
 
Back
Top Bottom