Moshi Technical Alumni!

Moshi Technical Alumni!

Ahahahaa Probably Mkuu maana mimi wa 95 alikuwepo?
Nadhani yamkini ameingia Moshi Technical 1987 au hata kabla. Ila ninachojua alikuwa mwl wa Vijana mwishoni wa miaka ya 80 kabla hajamwachia mwl Dafa kwa muda.
 
Nadhani yamkini ameingia Moshi Technical 1987 au hata kabla. Ila ninachojua alikuwa mwl wa Vijana mwishoni wa miaka ya 80 kabla hajamwachia mwl Dafa kwa muda.
hata mimi nimemkuta ni mwl. wa vijana
 
Aisee...nilisign in moshi tech advance mwaka 2011 mpka 2013. Wazee wa Karume dorm 31
 
Nimesoma o level 2011 mpaka 2014 ..nimekaa house zote nne azimio,lumumba,mkwawa na karume zijakaa zenji tu.
 
Mwalimu Mpande bado yupo? Nitakushitua kama nitakuambia alikuwepo hapo Moshi Technical kabla ya wewe kuzaliwa!!!
Wenyewe wakimwita Mpax, mtaalam wa uchoraji na painting nadhani, sijui kwenye taaluma yenu somo hilo linaitwaje

Mpande pia alikua ni mwana CCM kindakindaki na mwaka fulani alikua mkimbiza mwenge kitaifa
 
Back
Top Bottom