2016? sasa hivi uko wapi
Nadhani yamkini ameingia Moshi Technical 1987 au hata kabla. Ila ninachojua alikuwa mwl wa Vijana mwishoni wa miaka ya 80 kabla hajamwachia mwl Dafa kwa muda.Ahahahaa Probably Mkuu maana mimi wa 95 alikuwepo?
Now wp mkuuNimesoma o level 2011 mpaka 2014 ..nimekaa house zote nne azimio,lumumba,mkwawa na karume zijakaa zenji tu.
Nipo dar navaa vitambulisho vya JPM tu ujasilia Mali mdogomdogoNow wp mkuu
Ok ok mkuu njoo pm tujuane zaid huwenda tutakumbukana vzr fanya tutumiane picha pmNipo dar navaa vitambulisho vya JPM tu ujasilia Mali mdogomdogo
Picha mwenye profile Avatar mkuuOk ok mkuu njoo pm tujuane zaid huwenda tutakumbukana vzr fanya tutumiane picha pm
Wenyewe wakimwita Mpax, mtaalam wa uchoraji na painting nadhani, sijui kwenye taaluma yenu somo hilo linaitwajeMwalimu Mpande bado yupo? Nitakushitua kama nitakuambia alikuwepo hapo Moshi Technical kabla ya wewe kuzaliwa!!!
Nilimaliza pale 2016kidato cha4 kiukwel shule hv sas imekarabatiwa na uhuru umepungua kwan headmaster mpya yupo strong kuliko mtemi
Nilikuwa KARUME33 nakumbuka member wangu kina omary waphiq,mwamba tata,omary jabir,ernest,jack p
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkumbuka ndioGB unamkumbuka