Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Wakuu umofia kwenu,

Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo.

Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi.

IMG-20230728-WA0001.jpg

Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi?

Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya Maendeleo Arusha badala ya Moshi.

Kuna tatizo mahali?

Jisomee mwenyewe.

Watafiq.
 
siasa chafu za serikali ya chama cha kijani, moshi ilitelekezwa na serikali mda mrefu, tangu enzi za ndesa, walidhani ndo namna pekee ya kuwaadhibu wana moshi kwa kuchagua upinzani, hakuna ujenjzi mpya wa mji, na walivyoua viwanda vyote ndo wakafanya mambo yawe magumu kabisa, but the place is good, is cool, is good and as sweet as her peaple.
 
moshi haijapata barabara za lami kila uchochoro pamoja na kituo kipya cha mabasi na mambo kedewakede
 
Back
Top Bottom