GE2025 Moshi Tunahitaji Kiongozi wa Kweli mwenye matokeo ya maendeleo Sio Mtumwa wa Makundi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Joined
Jul 27, 2024
Posts
35
Reaction score
13
Moshi Tunahitaji Kiongozi wa Kweli mwenye matokeo ya maendeleo Sio Mtumwa wa Makundi!!!!

Katika kipindi hiki muhimu cha siasa Moshi mjini inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa na unao onekana kwa wazi, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si mtu anayesukumwa na makundi ya kimaslahi au ajenda binafsi asiye na uwezo wa Wala sifa za kuongoza japo ubalozi wa nyumba kumi...

*MH PRISCUS TARIMO BINGWAA Mbunge wetu wa sasa na baadae 2025-2030 Moshi mjini, amethibitisha kwa vitendo kuwa ana sifa hizo zote. Ameonesha uongozi wa haki, uwazi, na matokeo si kwa maneno bali kwa kazi halisi zilizogusa maisha ya wana Moshi mjini na zinazoonekana wazi bila kificho....

Tunaendelea kumuombea kwa Mungu azidi kumpa afya, busara, na nguvu ili atuvushe tena kwa mafanikio makubwa zaidi 2025-2030 Moshi mjini INAMEREMETA na ikazidi KUMEREMETA!

Moshi Inasema: "Tumeona Matokeo, Tunataka Muendelezo!!!!"

Wajumbe wenzangu mbunge priscus tarimo mwana maendeleo endelevu na msomi mwenye uzoefu wa bungeni tumpe kura zote za ndio tukayaone maendeleo ya muendelezo wake wa kiuongozi

BY ✍🏻MWANDISHI BORA
 
wajumbe ni wanafiki, wewe imba ngonjela za tarimo
 
Ndo utengeneze id mpya
 
Back
Top Bottom