mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Hoja za kitoto saana maana "hujui kuwa hujui."Usimfanye kila mtu ni mjinga kama wanaCCM,kama kwa kipindi cha miaka mitano amefanya mambo makubwa sana kwa nini anaomba kura kwa kupiga magoti?
Wewe unaweza kufanya mambo makubwa sana kwa wananchi kisha ukaombe tena kibali cha kuendelea kuwatumikia kwa kupiga magoti?Kwanza mtu aliewafanyia mambo makubwa sana wananchi wala hana haja ya kufanya kampeni kwa sababu hayo mambo makubwa aliyofanya yanatoshi kumnadi.
Unapofanya mambo makubwa sana wananchi wanatakiwa wakuhitaji wewe kuliko unavyowahitaji wao.Iweje leo hii Magufuli ahitaji wananchi tena kwa kupiga magoti kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye kama alifanya mambo makubwa sana kama unavyojinasibu hapa?
Kitendo cha Magufuli kuomba kura kwa kupiga magoti ni ushahidi kuwa hakuna lolote la maana alilofanya kwa kipindi cha miaka mitano na kwa hiyo amekosa kibali cha wananchi kuendelea kuwa kiongozi wao,anachofanya sasa hivi ni kupiga magoti ili kulaghai watu.
Magufuli kwa sasa hivi ni tapeli anaetaka kurudi ikulu kwa njia za hila na kwa kulaghai watu baada ya kutumia miaka mitano kufanya ujinga na kujinufaisha yeye mwenyewe.View attachment 1587292
Kama wewe, na mashabiki wa huyo mropokaji, mlivyomkebehi Rais, alipoomba WaTz kufanya maombi, Mungu apishe mbali Korona, sasa mnakebehi nia yake njema ya kuombea Taifa limalize uchaguzi kwa amani. Kamwe nguvu za giza zitaweza kushinda nuru ya inayoangazwa kwa nguvu zake Mungu.