Mtondoli
Member
- Nov 9, 2021
- 70
- 174
Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja askofu mwingira kaongea mazito Sana ,na muona pia job ndugai nikama anakitu hakubaliani nacho na ninahisi hayuko peke yake Kuna kundi kubwa nyuma yake.mamlaka haitakiwi kukaza shingo wekeni Mambo sawa kinyume chake mtaanza kutafunana wenyewe