Moshi: Uwanja ulijengwa na Mwalimu Nyerere ,Leo wasiojua wanaongea wasilolijua!

Moshi: Uwanja ulijengwa na Mwalimu Nyerere ,Leo wasiojua wanaongea wasilolijua!

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU!

Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani?

Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote.

Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi Gani kwenye miradi ilihali Kodi tunalipa.

 
Back
Top Bottom