milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Sep 28, 2024 #1 Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU! Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani? Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote. Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi Gani kwenye miradi ilihali Kodi tunalipa. Your browser is not able to display this video.
Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU! Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani? Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote. Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi Gani kwenye miradi ilihali Kodi tunalipa. Your browser is not able to display this video.