GE2025 Moshi Vijijini wamkataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wananchi katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi, jimbo la Moshi Vijijini wamekataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu. Akizungumza na wananchi amesema kuwa barabara hiyo haikuwepo kwenye mpango wa lami wa serikali, na baada ya diwani kuleta andiko na kupembeleza ndiyo ikaingia kwenye mpango. Hata hivyo, mbunge huyo ameomba tena ridhaa ya wananchi ili akakamilishe ujenzi wa barabara hiyo.
 
Wabunge wanaonewa tu kazi yao sio kujenga barabara ni kuomba ..other wise baadhi ya mapato ya halmashauri yaamze kubaki halmashauri sio kwenda serikali kuu hapo wabunge watakuwa na uwezo wa kujenga kidogo..... hasa halmashauri zenye hela kama ilala temeke mafinga kahama
 
Mbunge hana kosa
Aliye na maamuzi ya kuleta ama kutokuleta ni huyo huyo mama yao.
 
Wananchi katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi, jimbo la Moshi Vijijini wamekataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu. Akizungumza na wananchi amesema kuwa barabara hiyo haikuwepo kwenye mpango wa lami wa serikali, na baada ya diwani kuleta andiko na kupembeleza ndiyo ikaingia kwenye mpango. Hata hivyo, mbunge huyo ameomba tena ridhaa ya wananchi ili akakamilishe ujenzi wa barabara hiyo.
Sahivi hakuna kudanganya ,nmependa namna wananchi wanavyotoa ya moyoni hadharani ..>>kiongozi n mtumwa wa anaowaongoza!!
 
Back
Top Bottom