Moshi wa mifupa ya samaki hufukuza wadudu ndani ya nyumba

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Cha kufanya,chukua mfupa wa samaki uchome kwenye moto mpaka utoe moshi,hakuna mashart,ni salama,inatoa nyoka na ng'e wanaojificha ndani
 
Nafanya majaribio mkuu..
Ila nashukuru kwa taarifa hii
 
Kata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.

Mimi mamiaka silali na net iyo ndio fukuz mbu ndani kwangu
Thanks, Ntajaribu mkuu
 
Kata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.

Mimi mamiaka silali na net iyo ndio fukuz mbu ndani kwangu
Asante sana lakini hizo Chuchu mmh
Hivyo vipande vya limau vitakaa siku ngapi?
 
Sidhani kama ni kweli, mbona hajakimbia mpaka leo wakati kila siku wanachoma mifupa Au Yuko Mbali kidogo??
 
Kata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.

Mimi mamiaka silali na net iyo ndio fukuz mbu ndani kwangu
Sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…